Ufunguo wa seli ya Nelson Mandela katika gereza la kisiwa cha Robben warejeshwa Afrika Kusini-Waziri

Ufunguo wa seli ya Nelson Mandela katika gereza la kisiwa cha Robben warejeshwa Afrika Kusini-Waziri

Safi sana, tunamatumaini pia ipo siku funguo ya Jela alikowekwa Mbowe itatumzwa kama kumbukumbu kwa kizazi kijacho.
Ngoja tusubiri baada ya miaka 50 ijayo itapigwa mnada basi tumuombee afungwe ili funguo ije kupigwa mnada.
 
Hivi ni kweli kuwa Mandela alifia jela ? Ni kweli kuwa Mandela aliyetoka jela alichongwa au alitengenezwa,
 
Hivi ni kweli kuwa Mandela alifia jela ? Ni kweli kuwa Mandela aliyetoka jela alichongwa au alitengenezwa,
Kuna nyuzi nyingi humu zimeeleza Mandela alifia gerezani.

Zingine zikieleza Mandela aliletwa copy

Hapo ukweli hujafahamika zaidi.
 
Kuna nyuzi nyingi humu zimeeleza Mandela alifia gerezani.

Zingine zikieleza Mandela aliletwa copy

Hapo ukweli hujafahamika zaidi.
Asante, japo kwa kuona tu yawezekana alifia gerezani kweli na ndo kisa tu alipotoka kifungoni akampa talaka Winni, kwamba kama mke ingekuwa rahisi sana kutambua utofauti.

Nitajaribu kupitia hizo nyuzi hapo juu.

But anyways hatujui.
 
Huenda ni kweli maana kwa mtu aliye kua akiishi nae kwa ukaribu endapo akija tena kwake kwa ufeki lazima agundulike mapema.
 
Mkuu ukija SA unaweza kumshawishi mmoja ukapanda nae Ulaya hawezi kukataa kama ukiwaambia tu twende Tanzania wanashukuru kweli ni vile hawana taarifa za Nje ila wakipata mtu wa kumueleza wanakubali tuu..Ukishuka CapeTown hapo water front wamejaa wakhosa na ni wazuri kuliko Wazulu namba nane ya ukweli sio ya kupaka rangi..
Daaaah... long time.... Mitaa yangu ilikuwa MITCHELL's Plain, CT
 
Duh
 
Attachments

  • FB_IMG_16553790044843414.jpg
    FB_IMG_16553790044843414.jpg
    32.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom