Unatumia king'amuzi gani?
Niwaangalia mida flani ni HD, yaan utadhani unaangalia super sport HD.
Katika hili TBC mnastahili pongezi
Toka nianze kuangalia, mpaka sasa sijaona picha ikivibrate, badili king'amuzi, mimi nimeamua kutumia AZAM TV, burudani kwa wote, niangalie burudani ya nyumbaniDuuu huo uchafu hadi picha inavibrate ndio HD, au hujui maana ya HD nini?
TBC ya DSTV ina chenga ya Azam iko poaNi HD kwelikweli sijaona HD ya kuishinda TBC hapa TZ, leo wametisha, QUALITY HD + STUDIO KALI KULIKO HATA AZAM.
mwanzoni niliweka kupitia dstvUnatumia king'amuzi gani?
Niwaangalia mida flani ni HD, yaan utadhani unaangalia super sport HD.
Katika hili TBC mnastahili pongezi
Muhimu matokeoNi kweli ni utekelezaji wa ilani ya CCM, maana mambo mengi ya CCM ni ya kiwango cha chini. Kwa jinsi mechi inanavyoonekana vibaya ni aibu hata kutazama huo uchafu.
Hahaha.......!Halafu huyo mzee ni muongo wa kutupwa. Sio vibaya maana anawachambulia wamama wa nyumbani wasiojua lolote kwenye soccer.
Muhimu matokeo
Huku DStv Nina channel kama 4 za nchi tofauti naangalia ukiacha super sport kuna TV Rwanda, KBC na TV Uganda... poleni sana na azam yenuKBC(Kenya) na MBC(Malawi) wanaonesha ila Azam wamenyofoa chaneli hizo kwa sababu ya maudhui yasiyoruhusiwa nchini! Azam wajue kuwa chaneli husika tumezilipia na wanachokifanya ni wizi na utapeli kwani wao hutuambia tulipie chaneli zisizokuwa ndani ya kifurushi kwa ajili ya kuangalia mechi.
Yohana Tafadhali acha nyuzi za kijuhaIlani ya CCM inaagiza watanzania popote walipo wapate mawasiliano ya ndani na nje ya nchi kwa gharama nafuu kwa kadri inavyowezekana
TBC wanawaletea mubashara fainali za FIFA World Cup
Ikumbukwe Qatar Wana mchezaji mwenye asili ya Tanzania mh Akram Afif ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Kocha mchezaji wa Simba SC mh Hassan Afif
Kazi Iendelee
Acha kulalama hujui maana ya copyrightKBC(Kenya) na MBC(Malawi) wanaonesha ila Azam wamenyofoa chaneli hizo kwa sababu ya maudhui yasiyoruhusiwa nchini! Azam wajue kuwa chaneli husika tumezilipia na wanachokifanya ni wizi na utapeli kwani wao hutuambia tulipie chaneli zisizokuwa ndani ya kifurushi kwa ajili ya kuangalia mechi.
Sihitaji maana ya copyright, Azam waliniuzia kifurushi nami nikakilipia kulingana na vigezo vyao, kwa ujinga wako unadhani mimi niliziingiza hizo chaneli kwenye kifurushi! Watu wa aina yako wasiojua haki zao ni watu duni sana na ndio walioifanya nchi iwe hapa ilipo isiyo na muelekeo.
Naomba kueleweshwa,kama ni HD mbona kwa Dstv haionyeshi kama TBC sasa hivi ni HD kama channels zingine za HD?Unatumia king'amuzi gani?
Niwaangalia mida flani ni HD, yaan utadhani unaangalia super sport HD.
Katika hili TBC mnastahili pongezi
Imebidi nirudie kuangalia hapa Dstv nijiridhishe kama kwa sasa TBC ni HD lakini sioni.Duuu huo uchafu hadi picha inavibrate ndio HD, au hujui maana ya HD nini?
Hapo sawaTBC ya DSTV ina chenga ya Azam iko poa