Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Unatumia king'amuzi gani?
Niwaangalia mida flani ni HD, yaan utadhani unaangalia super sport HD.
Katika hili TBC mnastahili pongezi
Duuu huo uchafu hadi picha inavibrate ndio HD, au hujui maana ya HD nini?