Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Refa kahongwa na simbaaaaa wachezaji wa african sports wanamzonga hapa
 
Huyu refa anagawa tuu kadi kwa wachezaji wa African sports wa mikia anawaacha tuu
 
African sports wanacheza mpira utafikiri wana kocha mzungu. Watafungwa kwa fitna za huyu refa ila wanajitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…