Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Huu mwaka naona kuna hatari ya kuwa mwaka wa majanga pengine kuliko hata mwaka jana; Ngoja tujifariji kwa msenegali, Ajib, Simon na Mkude kwa sababu hawapo kwenye kikosi kwa sasa labda wanaweza kubadili chochote siku wakicheza.
 
Half Time | African Sports 0 - 0 Simba

Mkuu msalimie pacha wako Danny greeny.. Mwambie lile soka la Simba S.C lililojaa pasi nyingi, ufumdi mwingi + magoli mengi ndo linaanza 2nd half.
 
So far mikia wamejitahidi. Ila Pongezi ziwaendee African Sports kikosi chenye kocha mzawa na wachezaji wote wazawa wametandaza soka la hali ya juu sana.
 
Mkuu msalimie pacha wako Danny greeny.. Mwambie lile soka la Simba S.C lililojaa pasi nyingi, ufumdi mwingi + magoli mengi ndo linaanza 2nd half.

Ufundi wote mmeuonyesha kipindi cha kwanza ukijumlisha na msaada wa refa lakini mmeshindwa kufunga.

Mtani imekuwaje Manyika kavaa Jezi mgongoni imeandikwa Angban?
 
Ufundi wote mmeuonyesha kipindi cha kwanza ukijumlisha na msaada wa refa lakini mmeshindwa kufunga.

Mtani imekuwaje Manyika kavaa Jezi mgongoni imeandikwa Angban?

Haha.. Kwasasa sina jibu Mkuu.. Ila Kit Manager siku zake za kuitumikia timu kubwa ukanda huu wa CECAFA zinahesabika.
Simba S.C hua hatuvumilii upuuzi.. kama una kumbukumbu nzuri refer uzembe wa Nico Nyagawa, na alichokipata.
 
African Sports siyo "wageni" Ligi Kuu... Walishakuwapo...
 
Back
Top Bottom