sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Mkuu Danny Yellowy nafikiri nilikuambia.. Pole sana.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam vp?
Ataendeleza pale alipoishia JK.
Magufuli naye ana ahadi gani??
Mkishavuta mibangi yenu sijui mnakuwaje
Tunawapongeza Simba kwa ushindi huu, inaonyesha mwanzo mzuri.
https://jamii.app/JFUserGuide u
SIMBA hii inatisha kama LowasaWakuu sembo, Masuke na mikia mingine hongereeni sana kwa matokeo ya leo. Hamis Kiiza ana bahati sana na uwanja wa Mkwakwani, hata akiwa Yanga yeye ndiye aliyekuwa anatutoa kimasomaso.
Tukutane tena kesho hapa Jamvini pale Wananchi watakapojitupa Uwanja wa Taifa kutoa ONYO KALI kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu na FA mwaka 2015.
tuna mahaba mazito na Lowasahttps://jamii.app/JFUserGuide u
SIMBA hii inatisha kama Lowasa
Wakuu sembo, Masuke na mikia mingine hongereeni sana kwa matokeo ya leo. Hamis Kiiza ana bahati sana na uwanja wa Mkwakwani, hata akiwa Yanga yeye ndiye aliyekuwa anatutoa kimasomaso.
Tukutane tena kesho hapa Jamvini pale Wananchi watakapojitupa Uwanja wa Taifa kutoa ONYO KALI kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu na FA mwaka 2015.
Mkuu kwa nini ulete mambo ya siasa hapa kwenye jukwaa la michezo?
Hapa tujadili michezo tu, mambo ya siasa yana jukwaa lake, hata hivyo tarehe 25 Oktoba 2015 Watanzania watatoa maamuzi yao. Kwa sasa tujikite kwenye mada za michezo, ukitaka siasa nenda kule jukwaa lilipo.
Mkuu hao jamaa wanaudhi sana. Hawajui wapi pa kupeleka siasa wapi kwa habari za michezo. Ukiwaambia hapo utaambulia matusi tuu, wavumilie tuu. Walimsababishia swahiba wangu Danny greeny Ban.
Halafu ukiwachunguza utaona asilimia kubwa ni Mashabiki wa MIKIA
Ya Kuwashitaki Na Kuwasweka Keko au Gerezani Kwa Miaka 100 MAFISADI Wakubwa Lowassa Na Sumaye.
onyesha nimevunja sheria ipi ya JF au nchi.Hata ivo hapa ni updates za game sasa unapotaka kuniwekea mipaka ya furaha yangu nashindwa kukuelewa.au kisa katajwa Lowasa,basi niseme Simba inatisha kama Magufuli,furahi basiMkuu kwa nini ulete mambo ya siasa hapa kwenye jukwaa la michezo?
Hapa tujadili michezo tu, mambo ya siasa yana jukwaa lake, hata hivyo tarehe 25 Oktoba 2015 Watanzania watatoa maamuzi yao. Kwa sasa tujikite kwenye mada za michezo, ukitaka siasa nenda kule jukwaa lilipo.
Asante sana Mkuu.
Ila naomba nikupe taarifa [japo najua hutaipokea].. Simba S.C ni bingwa mtarajiwa wa makombe 4 + ngao 1 ya hisani katika msimu wa 2015/2016.
Wahenga wanasema, "adui yako muombee njaa".. nami kesho sitapingana na wahenga.
..yeah right. linganisha hapa chini kati ya JK na Kagame ni nani amekuwa more effective kwenye football performance kwa vigezo vya FIFA world rankings:
Rwanda: September 2005 ilikuwa ya 182 na 3rd September 2015 ni ya 78
Tanzania: September 2005 ilikuwa ya 175 na 3rd September 2015 ni ya 140.