Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Ataendeleza pale alipoishia JK.

..yeah right. linganisha hapa chini kati ya JK na Kagame ni nani amekuwa more effective kwenye football performance kwa vigezo vya FIFA world rankings:

Rwanda: September 2005 ilikuwa ya 182 na 3rd September 2015 ni ya 78
Tanzania: September 2005 ilikuwa ya 175 na 3rd September 2015 ni ya 140.
 
Wakuu sembo, Masuke na mikia mingine hongereeni sana kwa matokeo ya leo. Hamis Kiiza ana bahati sana na uwanja wa Mkwakwani, hata akiwa Yanga yeye ndiye aliyekuwa anatutoa kimasomaso.

Tukutane tena kesho hapa Jamvini pale Wananchi watakapojitupa Uwanja wa Taifa kutoa ONYO KALI kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu na FA mwaka 2015.
 
Last edited by a moderator:

SIMBA hii inatisha kama Lowasa
 
Last edited by a moderator:
SIMBA hii inatisha kama Lowasa

Mkuu kwa nini ulete mambo ya siasa hapa kwenye jukwaa la michezo?

Hapa tujadili michezo tu, mambo ya siasa yana jukwaa lake, hata hivyo tarehe 25 Oktoba 2015 Watanzania watatoa maamuzi yao. Kwa sasa tujikite kwenye mada za michezo, ukitaka siasa nenda kule jukwaa lilipo.
 
Wakuu sembo, Masuke na mikia mingine hongereeni sana kwa matokeo ya leo. Hamis Kiiza ana bahati sana na uwanja wa Mkwakwani, hata akiwa Yanga yeye ndiye aliyekuwa anatutoa kimasomaso.

Tukutane tena kesho hapa Jamvini pale Wananchi watakapojitupa Uwanja wa Taifa kutoa ONYO KALI kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu na FA mwaka 2015.

Asante sana Mkuu.
Ila naomba nikupe taarifa [japo najua hutaipokea].. Simba S.C ni bingwa mtarajiwa wa makombe 4 + ngao 1 ya hisani katika msimu wa 2015/2016.
Wahenga wanasema, "adui yako muombee njaa".. nami kesho sitapingana na wahenga.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa nini ulete mambo ya siasa hapa kwenye jukwaa la michezo?

Hapa tujadili michezo tu, mambo ya siasa yana jukwaa lake, hata hivyo tarehe 25 Oktoba 2015 Watanzania watatoa maamuzi yao. Kwa sasa tujikite kwenye mada za michezo, ukitaka siasa nenda kule jukwaa lilipo.

Mkuu hao jamaa wanaudhi sana. Hawajui wapi pa kupeleka siasa wapi kwa habari za michezo. Ukiwaambia hapo utaambulia matusi tuu, wavumilie tuu. Walimsababishia swahiba wangu Danny greeny Ban.

Halafu ukiwachunguza utaona asilimia kubwa ni Mashabiki wa MIKIA
 
Asante Mkuu kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa nini ulete mambo ya siasa hapa kwenye jukwaa la michezo?

Hapa tujadili michezo tu, mambo ya siasa yana jukwaa lake, hata hivyo tarehe 25 Oktoba 2015 Watanzania watatoa maamuzi yao. Kwa sasa tujikite kwenye mada za michezo, ukitaka siasa nenda kule jukwaa lilipo.
onyesha nimevunja sheria ipi ya JF au nchi.Hata ivo hapa ni updates za game sasa unapotaka kuniwekea mipaka ya furaha yangu nashindwa kukuelewa.au kisa katajwa Lowasa,basi niseme Simba inatisha kama Magufuli,furahi basi
 
Asante sana Mkuu.
Ila naomba nikupe taarifa [japo najua hutaipokea].. Simba S.C ni bingwa mtarajiwa wa makombe 4 + ngao 1 ya hisani katika msimu wa 2015/2016.
Wahenga wanasema, "adui yako muombee njaa".. nami kesho sitapingana na wahenga.

Asante Mkuu nimeipokea taarifa yako, nakukumbusha kuwa 'Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno'.
 
Wanakimanumanu timu inayoundwa na kocha mzawa na wachezaji wazawa. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Hasa kwa timu zetu kubwa ambazo zinaona ili ushinde ni lazima uwe na wachezaji kutoka nje ya Tanzania.

sembo na mikia wengine hongereni sana japo mnahitaji kuangalia upya striking force yenu, kwa gemu ya leo ushindi mlitakiwa mshinde zaidi ya goli moja. Kuweni sana makini na murshid na mgosi next tym katika mechi muhimu watawacost big time.

Karibuni kesho muone mpira wa kideoni Pale Taifa jinsi timu ya Wananchi itakavyokuwa inawafundisha wagosi wa kaya kandanda. Live update mtazipata kwa wale wasioweza kufika uwanjani.

Makoye Matale tujitahdi uzi wa Update ufunguliwe na mwanajangwani mwenzetu otherwise ni sheeda wakifungua mikia
 
Last edited by a moderator:
..yeah right. linganisha hapa chini kati ya JK na Kagame ni nani amekuwa more effective kwenye football performance kwa vigezo vya FIFA world rankings:

Rwanda: September 2005 ilikuwa ya 182 na 3rd September 2015 ni ya 78
Tanzania: September 2005 ilikuwa ya 175 na 3rd September 2015 ni ya 140.

Wahaini hawaoni aibu kujificha. Kagame ameingiaje hapo?
 
Back
Top Bottom