Ufunguzi wa ATWID katika mapicha

Ufunguzi wa ATWID katika mapicha


Picha nzuri.Nisichoelewa kuhusu ATWID ni whether ni sehemu ya CCM Tawi la London/UK au taasisi huru inayojitegemea kama inavyoeleza yenyewe.Susan Mzee ni mmoja wa viongozi wa CCM London,lakini haina tatizo kwa vile yeye ni founder member wa ATWID.What about Maina Owino,ambaye katika hafla hiyo ameonekana kama miongoni mwa wageni rasmi of some kind?
 
Back
Top Bottom