Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010


mtahaaha ona hatahmueleweki,basi twaapuuza vikaragosi wa Chama Cha Mafisadi
 
swali jee kwenye viti maalum kuna mtu kapewa toka Zanzibar? jibu hakuna.

Nakumbuka kutoka Zanzibar alipewa Bi. Maulida Anna Komu ila hakuwa Mzanzibari alikuwa anakaa Zanzibar tu ndiyo yale yale ya Nyerere akitubambikia viongozi kutoka bara akidai ni wazanzibari kwa kuwa tu wanakaa Zanzibar, jibu lako ni sahihi na chadema nao hakuna kiti maalumu alichopewa Mzanzibari.
 

Big head with no brains! huu ni upupu si kila mwenye ndevu yuko CUF! Ila ndevu ni muhimu CUF...kuvaa kanzu si lazima uwe muislam.
 
@Solomon:Jibu hoja.

Mkuu ugonjwa wa washabiki wa chadema (siyo wanachama) lazima uelewe, kuwa wabishi, wakaidi, hawataki kuambiwa ukweli wala kusikia, hawajuwi kuwashauri hata viongozi wao wanaowashabikia, wao ni kelele na fata mkumbo tu. Akitokea mtu akibaini kuna tatizo pahala akisema anaonekana adui, hajuwi kitu.

Nitatowa mfano hai humu humu JF, Rev. Kishoka, ni miongoni mwa wanachama wa kuheshimika na wenye mawazo mazuri ukisoma thread zake. Karibuni amekuja na thread kuhusu chadema ilivyokosea tangu awali kujipanga kiuchaguzi.

Alitoa hoja za maana hasa vipi chadema walipaswa wafanye kabla ya kukurupuka na kuingia katika uchaguzi wa mwaka huu.
Ajabu nilishangaa baadhi ya majibu ya matusi aliyopata kama vile kafanya dhambi gani sijuwi. Ndiyo nikapata picha kuwa washabiki wa chadema hasa humu JF kama mazuzu vile, kwao wao kila kitu kipo perfect na ukisema vinginevyo ni nongwa kwao.
 

Baadae inabidi watu wakaburudike au sio?

 
Nilitazama matangazo ya TBC1 ya moja kwa moja ya uzinduzi wa kampeni, na nilisikiliza hotuba ya Dk. Slaa.

Padri, Slaa HAKUWAZUNGUMZIA Ruge na THT, kwani hata kwa mtazamo wangu, hao ni watu WADOGO sana kuzungumziwa na mtu kama yeye. Ni wadogo kuliko piriton!

Slaa alizungumzia mipango ya CHADEMA itakayotekelezwa ndani ya siku 100 za urais wake. Ruge na THT wanaingia wapi kwenye agenda hiyo?

Nimekubaini, wewe ni MAMLUKI wa CCM, umekuja hapa kupandikiza maneno, kupoteza dira.

Nitaendelea KUWAUMBUA ninyi mamluki wote MPAKA MUONDOKE humu ndani. Mnachojua ni porojo, wala hamna HOJA!

Hatuna muda wa kuongea PUMBA! Tunataka hoja.

Kwa taarifa yako, Shibuda HAKUZUNGUMZIA uchumi!

Slaa HAHITAJI kukumbushwa na Shibuda. In fact, Shibuda aliwataka wananchi kumuunga mkono Slaa, na yeye pia alitangaza kumuunga mkono, lakini HAKUMKUMBUSHA juu ya uchumi. Hilo, Slaa HAHITAJI kukumbushwa na mtu yeyote!

NIPOTEZEE!

-> Mwana wa Haki

Padri, Nostradamus, na wengineo, nimewaongeza kwenye IGNORE LIST yangu!
 
Mods

Hivi kwa nini MNAKUBALI upotoshaji na uzandiki huu wa wazi wazi? I PROTEST!
 
Asante Quinine,

nimeedit post yangu ya kwanza ili kuweka hii picha kule.

Kina Padri na Nostradamus wao wameona kuvaa kanzu ndiyo hoja inayolisumbua taifa halafu wanataka eti tuijadili wana akili kweli dawa yao ni kuwapuuza tu.
 
Kuna watu wengine wanaboa humu. Hata hoja zisizokuwa na mshiko wanazishupalia kama washenga wa ajali, lol !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…