Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika uzinduzi wa kampeni za chadema jana nilishangazwa na tukio la mgombea urais wa chadema kusahau kuzungumzia uchumi wa taifa. Ambapo ndio kitu muhimu sana. Yeye alijikita na habari za ruge na house of talent, badala ya kujadili issue za kitaifa. Wao ugomvi wa watu wawili wameufanya ndio sera za chama. Akajikita na uendeshaji wa kesi mahakama ya kisutu.
kama chama chadema kingezungumzia suala za uendeshaji kesi zote yaani mfumo wa sheria nchini, sio kujadili kesi moja au mbili za mahakama ya kisutu.
slaa ameshindwa kusema kuwa jk amechagua majaji wangapi kurahisisha mfumo wa sheria.
nilivunjwa mbavu pale john shibuda alipompelekea desa bwana slaa kuwa mzee umesahau kuzungumzia uchumi. Slaa kwa ufahamu wake mdogo akatamka hadharani akisema 'nakushukuru ndugu yangu shibuda kwa kuniletea karatasi kunikumbusha nizungumzie uchumi"
chama makini kingezungumzia uchumi kutokana na mambo kadhaa yaliyojiri hivi karibuni dunian na hapa nchini mambo kama credit crunch na mengi ya mfano huo. Riba na uchumi wa nchi. Yeye alikuwa busy kuzungumzia neno moja tu ufisadi.
sasa kama shibuda angekuwa hayupo jana ingekuwaje? Hilo ndio tatizo la chama kuwa na watu wenye elimu ya darasa la saba na kidato cha nne kama mbowe na mgombea mwenza wa slaa.
mgombea mwenza angekuwa msomi au mwenye uelewa angemsaidia slaa.
chadema mshukuruni sana shibuda kafanya kazi nzuri ingawa hamkumpa nafasi ya kuzungumza.
Unauhakika Tanzania hakuna Tatizo la uchumu? Dr. Slaa ni kilaza ndio maana mpaka akumbushwe ndio afanye kitu.
Tatizo ni kukumbushwa sio kuongea, alikazania mahakama ya kisutu, Ruge na Ufisadi
Sioni ajabu kwani hata CV yenyewe ya Dr slaa haitoshi kuwafanya wananchi wampe nchi.atakuwa anakumbushwa na nani?Katika uzinduzi wa kampeni za chadema jana nilishangazwa na tukio la mgombea urais wa chadema kusahau kuzungumzia uchumi wa taifa. Ambapo ndio kitu muhimu sana. Yeye alijikita na habari za ruge na house of talent, badala ya kujadili issue za kitaifa. Wao ugomvi wa watu wawili wameufanya ndio sera za chama. Akajikita na uendeshaji wa kesi mahakama ya kisutu.
Kama chama chadema kingezungumzia suala za uendeshaji kesi zote yaani mfumo wa sheria nchini, sio kujadili kesi moja au mbili za mahakama ya Kisutu.
Slaa ameshindwa kusema kuwa JK amechagua majaji wangapi kurahisisha mfumo wa sheria.
Nilivunjwa mbavu pale John Shibuda alipompelekea desa bwana slaa kuwa mzee umesahau kuzungumzia uchumi. Slaa kwa ufahamu wake mdogo akatamka hadharani akisema 'nakushukuru ndugu yangu Shibuda kwa kuniletea karatasi kunikumbusha nizungumzie uchumi"
Chama makini kingezungumzia uchumi kutokana na mambo kadhaa yaliyojiri hivi karibuni dunian na hapa nchini mambo kama credit crunch na mengi ya mfano huo. Riba na uchumi wa nchi. Yeye alikuwa busy kuzungumzia neno moja tu ufisadi.
Sasa kama shibuda angekuwa hayupo jana ingekuwaje? Hilo ndio tatizo la chama kuwa na watu wenye elimu ya darasa la saba na kidato cha nne kama mbowe na mgombea mwenza wa Slaa.
Mgombea mwenza angekuwa msomi au mwenye uelewa angemsaidia Slaa.
Chadema mshukuruni sana Shibuda kafanya kazi nzuri ingawa hamkumpa nafasi ya kuzungumza.
Ilikuwa lazima CHADEMA kufungulia kampeni sehemu hiyo hiyo kama ratiba ya C.M.M? Jamani CHADEMA, tuonyeshe creactivity
I agree, to the extent that the V.P. is that close to presidency. But beyond that I must add that your appreciation of election year politics in Tanzania is oft-times a bit off-key. Traditionally, the profile of prospective VP is a total non-factor.
Rashidi Mfaume, Idris Wakil, Ally Mwinyi, Othman Juma, Shehe Mwinyi Jumbe, and this Alli Shein guy, were all political goofs and goons whom nobody thought of for more than three seconds when they were elected V.P's.
When Rashidi Mfaume abruptly took over the reins from Nyerere in 1962 the sky didn't fall on our heads, and when a Hassan Mwinyi ascended to presidency from total Michenzani obscurity the country arguably prospered, with a near unanimous consensus among many presidential observers that Shehe Mwinyi "freed" the nation. So, we have never worried about the eventuality of an eerie V.P. landing at Ikulu.
Indeed this general apathy over the VP may not portend a healthy scenario for our country, after all we're living in such uncertain times when the incumbent president is dogged by nasty black-out drop-down seizures which no doctor in the country can explain.
But suffice is to say, we just don't give a hoot about the second fiddle at Ikulu. I wouldn't mix up local politics with electioneering concepts from a different universe.
just a piece of advice bana Padri... hebu tumegee kidogo basi yaliyojiri maana si wote tulipata kuona hiyo shughuli
Thanks for this mkuu...
BTW, Hivi ina maana hakuwa na points za kuongelea hadi akumbushwe?
Mh! Kwani Creativity inaonyeshwa na Mahali au Namna Ufunguzi ulivyofanyika, Ulitaka Wafungulie Angani ndio uone wako Creative au! Kazi Kweli kweli
Katika uzinduzi wa kampeni za chadema leo jangwani uongozi wa chadema umekiri hadharani kuwa mgombea wao kuwa na elimu ya msingi na kutokuwa na uzoefu wa kazi wowote si tatizo kwani wako viongozi kama church hill alieyekuwa waziri mkuu wa uingereza hakuwa na elimu.
Kitendo cha chadema kukiri kuwa na kusema kuwa elimu haina maana yeyote ktk kuongoza nchi ni jambo la ajabu.
Ktk kujipigia debe wamesema hata mzee kawawa alikuwa hana elimu.
Mzee kawawa alikuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye uongozi na uzoefu mkubwa sana kuanzia vyama vya wafanyakazi.
Sasa mgombea huyu wa chadema hana elimu wala uzoefu wa kazi.
Chadema walitakiwa kujua kuwa mgombea mwenza anatakiwa kuwa mtu mwenye uwezo mkubwa kielimu au kiuzoefu,mfano rais wa nigeria jonathan goodluck kama angekuwa darasa la saba kama huyu wa chadema ingekuwaje?
Kampeni za chadema zilijikita kusema mtu mmoja mmoja mtu kama ruge alitajwa na studio yake. Ugomvi wa no malaria ilikuwa ni sehemu ya ilani ya chadema kwenye mkutano wa leo.
Cha ajabu walikuwa wakisema kuwa chadema ni chama makini kinafanya utafiti sasa huyu darasa la saba au mbowe form four, au mnyika aliyeishia kidato cha sita watafanya utafiti vipi wakati mbowe kasema elimu haina maana kwenye medani za uongozi?
Mkutano wa chadema umekosa wahudhuria wengi wa kada mbali mbali zaidi ya wahudumu wa mabaa toka maeneo ya ubungo,kimara,mbezi, sinza ambao waliandaliwa usafiri kuja kuongeza wingi.
Mbona unasema kinyume cha walichosema? Moja ya sifa za kumchagua ilikuwa uzoefu wake wa uongozi katika sehemu mbalimbali na walizitaja ingawa hana elimu kubwa sana. Lakini pia hawakusema ni darasa la saba (walau sikusikia hilo). Ina maana ana elimu ya kawaida ila hana MA, PhD etc kwa mfano.
Na kama elimu kwa maana ya kupata hizo degrees kingekuwa kigezo cha uongozi basi viongozi tulio nao wenye PhD etc wangekuwa wameshaonesha miujiza hapa nchini lakini ndio mafisadi nk. Cha muhimu kwenye uongozi ni uwezo wa kuelewa matatizo ya wananchi na kuyatafutia ufumbuzi na siyo acummulation of degrees: full stop!
kwa kauli zako mbovu we ni m.s.e.n.g.e. Tumekuwa jangwani watu wa kada zote. Unaposema wahudumu wa baa unachefua wengi. Wasomi unaowajua wewe wameiletea nini nchi? Huyo 'dk' kikwete kafanya nini? Wasomi akina lowasa, rostam, ridhiwan, karamagi et al walioko ccm wamefanya nini? Watch out, boy