Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 885
Ila Kikwete ana bachelor ya kweli ya UDSM, kwahiyo husimlinganishe na huyo wa darasa la saba
Siku hizi ukiwa na Bachelor unaitwa Dokta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Kikwete ana bachelor ya kweli ya UDSM, kwahiyo husimlinganishe na huyo wa darasa la saba
Superman, Regia mmefanya kazi kubwa sana kuwahabarisha watu ambau kwa njia moja au nyingine hawakuwaweza kuhudhuria mkutano wa Ufunguzi wa kampeni CHADEMA. We really appreciatea that. Mlivyodondosha nondo hapa, wale ambao hawakuwepo utafikiri walikuwepo couple of metres from Jukwaa kuu.
Mkuu invisible, je kunahitajika video camera kuchukuwa matukio ya kampeni? Ni vema memba tukajua kama kuna mahitaji ambayo twaweza kusaidiana. Tunahitaji kujionea sisi wenyewe haya matukio badala ya kusubiri edited video na propaganda machines. Please let me know how I can help about that.
Dr Shein amewahi kufanya utafiti wowote tangu awe Makamu wa Rais?tuambie kafanya upi na upi?
Katika uzinduzi wa kampeni za chadema leo jangwani uongozi wa chadema umekiri hadharani kuwa mgombea wao kuwa na elimu ya msingi na kutokuwa na uzoefu wa kazi wowote si tatizo kwani wako viongozi kama church hill alieyekuwa waziri mkuu wa uingereza hakuwa na elimu.
Kitendo cha chadema kukiri kuwa na kusema kuwa elimu haina maana yeyote ktk kuongoza nchi ni jambo la ajabu.
Ktk kujipigia debe wamesema hata mzee kawawa alikuwa hana elimu.
Mzee kawawa alikuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye uongozi na uzoefu mkubwa sana kuanzia vyama vya wafanyakazi.
Sasa mgombea huyu wa chadema hana elimu wala uzoefu wa kazi.
Chadema walitakiwa kujua kuwa mgombea mwenza anatakiwa kuwa mtu mwenye uwezo mkubwa kielimu au kiuzoefu,mfano rais wa nigeria jonathan goodluck kama angekuwa darasa la saba kama huyu wa chadema ingekuwaje?
Kampeni za chadema zilijikita kusema mtu mmoja mmoja mtu kama ruge alitajwa na studio yake. Ugomvi wa no malaria ilikuwa ni sehemu ya ilani ya chadema kwenye mkutano wa leo.
Cha ajabu walikuwa wakisema kuwa chadema ni chama makini kinafanya utafiti sasa huyu darasa la saba au mbowe form four, au mnyika aliyeishia kidato cha sita watafanya utafiti vipi wakati mbowe kasema elimu haina maana kwenye medani za uongozi?
Mkutano wa chadema umekosa wahudhuria wengi wa kada mbali mbali zaidi ya wahudumu wa mabaa toka maeneo ya ubungo,kimara,mbezi, sinza ambao waliandaliwa usafiri kuja kuongeza wingi.
Mkuu, mahasira hata chembe huku CCM! Kwa mahesabu ya ghafla, yale majimbo tuliyokomba ki-hivi hivi (17) ni asilimia 10% ya electorate ya Tz. Bado zenj kuna 6% na mikoa ya kusini yote make up 12%, hapo hujaongelea royal central regions!. By summation tayari CCM (chama chenye majigambo yenye akili) kina 26% ya kura kabla ya election. Mkigawana na CUF maeneo tofauti mtaacha another 50% ikiwa na CCM. Mwaka huu ushindi ni asilimia 76%+ kwa CCM. Ni kweli unahitaji hasira au pressure hapo?. Hutaki, subiri Octber 31. Ilikuwa ni makosa sana kwa Slaa kuingia kwenye kingang'anyiro cha Urais mwaka huu. Ameingia choo cha wanawake.
I agree, to the extent that the V.P. is that close to presidency. But beyond that I must add that your appreciation of election year politics in Tanzania is oft-times a bit off-key. Traditionally, the profile of prospective VP is a total non-factor.A vice president is a heartbeat away from being president......question is...can he president?
kwa kauli zako mbovu we ni m.s.e.n.g.e. Tumekuwa jangwani watu wa kada zote. Unaposema wahudumu wa baa unachefua wengi. Wasomi unaowajua wewe wameiletea nini nchi? Huyo 'dk' kikwete kafanya nini? Wasomi akina lowasa, rostam, ridhiwan, karamagi et al walioko ccm wamefanya nini? Watch out, boy
WanaJamii tujaribu kuwa serious na wahalisia....ni bora ku accept ukweli kwa sababu ukweli unakupa uhuru wa mawazo.
Jamaa ni standard 7 period....huwezi ukafananisha enzi hizi na za mwalimu ambapo Kawawa alikuwa VP,hata hivyo angalia Mwl.Nyerere alivyokuwa anamburuza...hata story za Kawawa kuambiwa afunike kikombe ili wahudumu wasiendelee kuleta chai zinaweza ashiria sthng relating to his education level.
Unacceptable kuwa na VP std 7..hapa jamaa walichemsha......form IV tu ni mashaka kupata even ukarani in this era..iwe std 7 na u VP!!!
Ni mtizamo tu~~~~
Hivi kipi bora kati ya kuchagua kati ya Rais darasa la saba au Rais mgonjwa, tuseme umelazimishwa upate mmoja kati ya hao
Kumbe unazungumzia utafiti wa shuleni?nilikuwa sijakupata.Come on hivi unaamini katika hili?madesa na simbi kwa sana..