Bigger than life
Member
- Oct 23, 2020
- 93
- 94
Hapo utahitaji Animal nutritionist. Mimi ni animal nutritionionist. Kwahiyo nichague Mimi niwe mshauri wako. Sheria inakutaka lazima uwe na mshauri wa mifugo aliyebobea kwenye masuala ya lishe ya mifugo yaani animal scientists.Habari za jioni ndugu wadau.
Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama
Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku.
Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine (pellets) hapa au nje ya nchi, na mashine zipi/kampuni gani bora kwenye uten.
Zaidi naombeni ushauri wa hii biashara kuhusu faida na changamoto zake.
Tuombe uzimamm ni mkemia naweza pata kibarua apo boss
nakushauri kila kitunkiwe documented before ujanza kuitawanya iyo pesa " high analyzed business plan"Tuombe uzima
nakushauri kila kitunkiwe documented before ujanza kuitawanya iyo pesa " high analyzed business plan"Tuombe uzima
Mkuu ungewatembelea kwanza wadau walioko kwenye hiyo industry natumai ungetoka na package kubwa.Wadau naombeni ushauri kuhusu ununuzi wa mashine, bidhaa, uendeshaji na masoko
Mimi ningekua wewe ningemuelewesha mkuu Bigger Than Life kila kitu bila kuacha kitu kuhusiana na hii project alaf mwishoooooooni ningeandika kwa herufi kubwa kwamba "MKUU BIGGER THAN LIFE MIMI HII NDIO PROFESHENI YANGU KAMA VIPI TUANGALIANE" Ukweli ni kwamba sio lazima yeye akuchukue lkn unakua umejimaketi kwenye jamii kubwa. Au unaonaje DASM?Hapo utahitaji Animal nutritionist. Mimi ni animal nutritionionist. Kwahiyo nichague Mimi niwe mshauri wako. Sheria inakutaka lazima uwe na mshauri wa mifugo aliyebobea kwenye masuala ya lishe ya mifugo yaani animal scientists.
Nakushauri tembelea FARMERS CENTRE WAPO ILALA DARESSLAM wapo kwenye field hii muda sasa utapata ushauri mzuri sana na hawana choyo kwenye maswala ya kutoa elimu .muhimu sana kuwatembelea wanao jishughurisha na the same field. Mawasiliano 0752367114Habari za jioni ndugu wadau.
Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama
Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku.
Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine (pellets) hapa au nje ya nchi, na mashine zipi/kampuni gani bora kwenye uten.
Zaidi naombeni ushauri wa hii biashara kuhusu faida na changamoto zake.
Shukrani kwa ushauri nitaufanyia kazi mkuuNakushauri tembelea FARMERS CENTRE WAPO ILALA DARESSLAM wapo kwenye field hii muda sasa utapata ushauri mzuri sana na hawana choyo kwenye maswala ya kutoa elimu .muhimu sana kuwatembelea wanao jishughurisha na the same field. Mawasiliano 0752367114
Ushauri nimeupokeaMkuu ungewatembelea kwanza wadau walioko kwenye hiyo industry natumai ungetoka na package kubwa.
Wewe Animal Nutritionist una product gani sokoni? Unasaidia vipi wafugaji wadogo katika utengenezaji wa vyakula vya kuku? Au ndio utaalamu umebaki kwenye vyetiHapo utahitaji Animal nutritionist. Mimi ni animal nutritionionist. Kwahiyo nichague Mimi niwe mshauri wako. Sheria inakutaka lazima uwe na mshauri wa mifugo aliyebobea kwenye masuala ya lishe ya mifugo yaani animal scientists.
Sio kila mtaalam atakuepo na product yake sokoni. Chamsingi ni kuelimisha wafugaji binafsi na makampuni tuu inatosha . Kuna maengineer wengi but sio kila engineer atakuepo na kampuni yake ya ujenzi. Kuna wafamacia wengi wamekuepo ni washauri wa maduka ya Pharmacy lakini wao hawana maduka ya Pharmacy. Ili kuhakikisha anaweza kucompete sokoni ni vyema apate mtaalam aliebobea kwenye masuala ya feed technology.Wewe Animal Nutritionist una product gani sokoni? Unasaidia vipi wafugaji wadogo katika utengenezaji wa vyakula vya kuku? Au ndio utaalamu umebaki kwenye vyeti
Wewe ni mfugaji?? Nimeuliza maana moja ya changamoto wanayopata wafugaji ni formula za chakula. Ndio maana nikamtaka huyo mtaalamu aseme kama ashafanya utaalamu wowote na ukafanikiwa Kwenye formula za chakula.Sio kila mtaalam atakuepo na product yake sokoni. Chamsingi ni kuelimisha wafugaji binafsi na makampuni tuu inatosha . Kuna maengineer wengi but sio kila engineer atakuepo na kampuni yake ya ujenzi. Kuna wafamacia wengi wamekuepo ni washauri wa maduka ya Pharmacy lakini wao hawana maduka ya Pharmacy. Ili kuhakikisha anaweza kucompete sokoni ni vyema apate mtaalam aliebobea kwenye masuala ya feed technology.