Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

SAWA LILITH ALIKUJA KWA UMBO LA NYOKA NA KUMDANGANYA HAWA... HII INAMAANISHA MWANZO HAKUWA KATIKA UMBO LA NYOKA... LAKINI BAADA YA KUSABABISHA USALITI KATI YA MUNGU NA ADAMU AKAPEWA LAANA YA KUTEMBEA KWA TUMBO MAISHA YAKE YOTE...

JE INAMAANA ALISHINDWA KURUDI KATIKA UMBO LAKE LA AWALI KABLA HAJAJA KATIKA UMBO LA NYOKA BAADA YA KUMALIZA KAZI YAKE...???

JE MUNGU NDIYE ALIYEMFANYA KUWA KATIKA UMBO LA NYOKA KWA MAISHA YA KUDUMU BAADA YA KUMKOSEA MUNGU...???
 
shukrani mshana.
kwa wale mnopinga kwa kutumia "biblia" kile
wasichokijua wengi ni kuwa biblia alitengenezwa na kanisa, kulikua na rundo la vitabu vilivyo andikwa na watu mbali mbali kwa kipindi cha miaka mingi, watu kama wewe na mimi walikaa na kukubaliana vitabu vipi wachukue viunde mkosanyiko wa vitabu atakao tumika na kanisa na ndipo biblia alipozaliwa, walifanya kazi nzuri ya kui promote . hivyo kuna vitabu vingi sana vilivyo achwa na kuna vingine vimeongezwa miaka mingi baadae, kama wewe unadhani biblia ilitoka mbinguni basi rudi shule kadai ada yako maana uliibiwa
 
Tunaterejea tena kutazama yale mambo yaliyoacha utata na pengine hayajawahi kujadiliwa na wengi.

Tumeshajadiliana sana kuhudu Eden, Hawa, tunda la mti wa kati(mti wa ujuzi wa mema na mabaya), nyoka na Adam. Katika vyote hivi kuna mtu pia tumemjadili kwa kiasi, mtu huyu hata maandiko hayamtaji wala kumjadili sana. Mtu huyo ni Lilith, mwanamke anayesemekana kuwa mke wa kwanza wa Adam.

Jambo hili la Adam kuwa na mke aliyeitwa Lilith halitajwi kwenye misahafu yetu hii tunayoijua bali kwenye maandiko mengine lakini ya kiimani pia.
Lilith anayetajwa kwenye maandiko hayo kama mwanamke kiburi na mwenye nguvu, na ambaye pia inasemekana alizaliwa sawa na Adam, aliasi na kutengana na Adam baada ya kushindana tabia. Lilith alitaka kuwa na mamlaka makubwa kwa Adam.

Habari za Lilith zinaishia pale alipoachana na Adam, kisha Adam alirejea Eden kuanza maisha ya upweke akiwa kama mtalikiwa na tunaambiwa Lilith alikuja kugeuka kuwa kiumbe cha kuzimu.

Maisha ya upweke Eden yanamfanya Mungu kumtengenezea Adam msaidizi wa kufanana naye
ndipo Adam sasa anamshukuru Mungu kwa kusema. Sasa huyu ni nyama katika nyama zangu na mfupa katika mifupa yangu ....?(wanazuoni wanatafsiri kauli hii kama kwamba mwanzoni alikuwepo mwingine ambaye hakutokana na Adam! )Je mtu huyo ni Lilith?

Maisha mapya ya furaha upendo na mapatano ndani ya Eden kati ya Adam na Eva/Hawa yanamvuta nyoka anayetajwa kama ibilisi akijulikana kama malaika aliyeasi mbinguni (Lilith?) Huyu ndio pekee aliyejua siri ya uumbaji (ukiacha Mungu) na siri ya tunda la mti wa kati; mti wa ujuzi wa mema na mabaya!

Kwa hakika Lilith hakupenda kabisa kuona Adam akiwa na mwanamke mwingine na hilo liko wazi hata kwa kizazi cha leo. Ule usemi wa wanawake hawapendani asili yake ni huku. Lilith kwa uwezo alionao anavaa umbo la nyoka na kumlaghai Eva/Hawa ale tunda la mti wa kati; mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Mti ambao Adam alizuiwa kula matunda yake.

Bibie Eve/Hawa bila kujua nia ovu ya nyoka anakubali kula tunda la mti wa kati ambalo aliliona ni TAMU na linapendeza kwa macho! Kilichofuatia baada ya hapo kinajulikana wazi. Nyoka akawafitinisha Adam na mkewe Hawa kwa Mungu. Wakafumbuliwa macho yaonayo na kujiona wako uchi.

Nyoka akalaaniwa kuwa atatembea kwa tumbo
Eva akalaaniwa kuwa atazaa kwa uchungu
Adam akalaaniwa kuwa atakula kwa jasho na wote wakafukuzwa Eden palipokuwa na kila kitu cha bure.

Lengo la Lilith la kulipa kisasi likawa limetimia na kwa mtazamo huo inawezekana kabisa Lilith ndio ibilisi....!!!
Kama lilith waliumbwa siku moja na adamu basi lazima walilingana nguvu na uwezo na pengine adamu akazidi kidogo za lilith maana adamu aliambiwa kuwatawala. Kinachoua hii hoja ni Lilith anatoa wapi uwezo wa kujigeuza nyoka ili hali adamu hana? Lilith ndie ibilisi adamu alikufa lini na lilith bado yupo?

sasa hii ina maana gani alieasi wa kwanza anaishi hadi leo aliedanganywa kafa kitambo sana kwanini Mungu amuache huyu muasi aliegoma kuishi na mmewe na badala yake muue mapema aliekosea mara moja tu tena kwa kudanganywa na huyohuyo ibilisi?

ok turudi nyuma wote walioumbwa na Mungu wanaambia wakila matunda hakika watakufa kwanini lilith yeye hafi je alimzidi maarifa muumba wake? hii story inakosa uhalisia.
 
The pseudepigraphical[48] 8th–10th centuries Alphabet of Ben Sira is considered to be the oldest form of the story of Lilith as Adam's first wife. Whether this particular tradition is older is not known. Scholars tend to date the Alphabet between the 8th and 10th centuries CE. The work has been characterized as satirical.

In the text an amulet is inscribed with the names of three angels (Senoy, Sansenoy, and Semangelof) and placed around the neck of newborn boys in order to protect them from the lilin until their circumcision.[49] The amulets used against Lilith that were thought to derive from this tradition are, in fact, dated as being much older.[50] The concept of Eve having a predecessor is not exclusive to the Alphabet, and is not a new concept, as it can be found in Genesis Rabbah. However, the idea that Lilith was the predecessor may be exclusive to the Alphabet.

The idea in the text that Adam had a wife prior to Eve may have developed from an interpretation of the Book of Genesis and its dual creation accounts; while Genesis 2:22 describes God's creation of Eve from Adam's rib, an earlier passage, 1:27, already indicates that a woman had been made: "So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them." The Alphabet text places Lilith's creation after God's words in Genesis 2:18 that "it is not good for man to be alone"; in this text God forms Lilith out of the clay from which he made Adam but she and Adam bicker. Lilith claims that since she and Adam were created in the same way they were equal and she refuses to submit to him:

After God created Adam, who was alone, He said, "It is not good for man to be alone." He then created a woman for Adam, from the earth, as He had created Adam himself, and called her Lilith. Adam and Lilith immediately began to fight. She said, "I will not lie below," and he said, "I will not lie beneath you, but only on top. For you are fit only to be in the bottom position, while I am to be the superior one." Lilith responded, "We are equal to each other inasmuch as we were both created from the earth." But they would not listen to one another. When Lilith saw this, she pronounced the Ineffable Name and flew away into the air.

Adam stood in prayer before his Creator: "Sovereign of the universe!" he said, "the woman you gave me has run away." At once, the Holy One, blessed be He, sent these three angels Senoy, Sansenoy, and Semangelof, to bring her back.

Said the Holy One to Adam, "If she agrees to come back, what is made is good. If not, she must permit one hundred of her children to die every day." The angels left God and pursued Lilith, whom they overtook in the midst of the sea, in the mighty waters wherein the Egyptians were destined to drown. They told her God's word, but she did not wish to return. The angels said, "We shall drown you in the sea."

"Leave me!' she said. "I was created only to cause sickness to infants. If the infant is male, I have dominion over him for eight days after his birth, and if female, for twenty days."

When the angels heard Lilith's words, they insisted she go back. But she swore to them by the name of the living and eternal God: "Whenever I see you or your names or your forms in an amulet, I will have no power over that infant." She also agreed to have one hundred of her children die every day. Accordingly, every day one hundred demons perish, and for the same reason, we write the angels' names on the amulets of young children. When Lilith sees their names, she remembers her oath, and the child recovers.

The background and purpose of The Alphabet of Ben-Sira is unclear. It is a collection of stories about heroes of the Bible and Talmud, it may have been a collection of folk-tales, a refutation of Christian, Karaite, or other separatist movements; its content seems so offensive to contemporary Jews that it was even suggested that it could be an anti-Jewish satire,[51] although
 
The pseudepigraphical[48] 8th–10th centuries Alphabet of Ben Sira is considered to be the oldest form of the story of Lilith as Adam's first wife. Whether this particular tradition is older is not known. Scholars tend to date the Alphabet between the 8th and 10th centuries CE. The work has been characterized as satirical.

In the text an amulet is inscribed with the names of three angels (Senoy, Sansenoy, and Semangelof) and placed around the neck of newborn boys in order to protect them from the lilin until their circumcision.[49] The amulets used against Lilith that were thought to derive from this tradition are, in fact, dated as being much older.[50] The concept of Eve having a predecessor is not exclusive to the Alphabet, and is not a new concept, as it can be found in Genesis Rabbah. However, the idea that Lilith was the predecessor may be exclusive to the Alphabet.

The idea in the text that Adam had a wife prior to Eve may have developed from an interpretation of the Book of Genesis and its dual creation accounts; while Genesis 2:22 describes God's creation of Eve from Adam's rib, an earlier passage, 1:27, already indicates that a woman had been made: "So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them." The Alphabet text places Lilith's creation after God's words in Genesis 2:18 that "it is not good for man to be alone"; in this text God forms Lilith out of the clay from which he made Adam but she and Adam bicker.

Lilith claims that since she and Adam were created in the same way they were equal and she refuses to submit to him:

After God created Adam, who was alone, He said, "It is not good for man to be alone." He then created a woman for Adam, from the earth, as He had created Adam himself, and called her Lilith. Adam and Lilith immediately began to fight. She said, "I will not lie below," and he said, "I will not lie beneath you, but only on top.

For you are fit only to be in the bottom position, while I am to be the superior one." Lilith responded, "We are equal to each other inasmuch as we were both created from the earth." But they would not listen to one another. When Lilith saw this, she pronounced the Ineffable Name and flew away into the air.

Adam stood in prayer before his Creator: "Sovereign of the universe!" he said, "the woman you gave me has run away." At once, the Holy One, blessed be He, sent these three angels Senoy, Sansenoy, and Semangelof, to bring her back.

Said the Holy One to Adam, "If she agrees to come back, what is made is good. If not, she must permit one hundred of her children to die every day." The angels left God and pursued Lilith, whom they overtook in the midst of the sea, in the mighty waters wherein the Egyptians were destined to drown. They told her God's word, but she did not wish to return. The angels said, "We shall drown you in the sea."

"Leave me!' she said. "I was created only to cause sickness to infants. If the infant is male, I have dominion over him for eight days after his birth, and if female, for twenty days."

When the angels heard Lilith's words, they insisted she go back. But she swore to them by the name of the living and eternal God: "Whenever I see you or your names or your forms in an amulet, I will have no power over that infant." She also agreed to have one hundred of her children die every day. Accordingly, every day one hundred demons perish, and for the same reason, we write the angels' names on the amulets of young children. When Lilith sees their names, she remembers her oath, and the child recovers.

The background and purpose of The Alphabet of Ben-Sira is unclear. It is a collection of stories about heroes of the Bible and Talmud, it may have been a collection of folk-tales, a refutation of Christian, Karaite, or other separatist movements; its content seems so offensive to contemporary Jews that it was even suggested that it could be an anti-Jewish satire,[51] although
Hii ni hadithi tuu iliyotumia ujanja kwenye sehemu ambayo biblia haikuelezea jambo kwa kirefu, mfano ukianzia mwanzo 1;27 inaeleza kwa ufupi tukio Mungu juu ya uumbaji wa mwanadamu bali kuanziamwanzo 2;7-18 biblia inaeleza kwa kirefu uumbaji wa Mungu alimuumbaje mwanadamu na mwanamke alipotokea...kumbuka vitabu vitano vya mwanzo viliandikwa na MUSA kwaio alikua anaandika huku akiwa anajua kila kitu ndomana pia unaweza ukajiuliza kama sio msomaji mzuri wa biblia kwanini ukisoma mwanzo 2;13 inaeleza ile bustani ya eden ina mto ambao umezunguka nchi yote ya KUSHI sasa unawezakujiuliza itakuaje wakati KUSHI ni mjukuu wa NUHU na NUHU ni kizazi cha kumi baada ya ADAMU? kwaio biblia ina usomwaji wake sio gazeti lile
 
51592EF7-1BB9-4E85-8E47-6EBD50A9FD6F.jpeg
Uzuri wamekufa??
Yeeeees!
 
Kitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....

Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.

Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni

JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL

Na wengine wengi.

Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.

Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Matangopoli aya uneyatoa kichaka gani
 
Back
Top Bottom