Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Mbona sioni maandiko toka kwenye Quran juu ya hl,,, maandiko mengi hapa yamebase kwenye Bibilia tu
 
Nilikuwa nina mwananamke anaitwa LILY,nilimpenda sana lakini alichokuja kunifanyia,mungu ndio anajua,naunga mkono hoja ya Mshana Jr kuwa huyo lilith ndio ibilisi shetani aliyefitinisha ndoa ya adam na eve....

Ndiye aliyezaliwa na ngoma?
 
Asee huyo pepo wako kiboko
 
Lilith alitaka haki sawa alicho nacho mwanaume awe nacho mwanamke yaani alitaka tuwe na jinsia mbili
 
Siyo inawezekana ni ukweli ni ngono lakini ngono ya usagaji
 

Kwa matango haya nasema ...Mtapata tabu sana
 
Nilitamani nikujibu lakini !
 
Mshana, Lilith ni hekaya za zamani za story za wagiriki kama za kina atlas, Medusa na kina Hercules...Kwa kibiblia Lilith hayupo naverse zinazomtaja hakuna ni hisia tu...Jiulize kama Lilith alizaliwa atajuaje siri ya uumbaji? MUNGU halinganishwi na binadamu yoyote wala malaika, Hafanani nao...MUNGU hafi, wala kuangamizwa, MUNGU Ndio Top Boss hana wa kumuhangaisha, na kwa taarifa yako huyo shetani nae huenda mbele za MUNGU akisujudu...rejea kitabu cha AYUBU
 
@maishapopote kinachokufa ni mwili uharibikao....hakuna roho ifayo
 
Mkuu maishapopote Lilith hakuzaliwa bali alitolewa mavumbini siku moja na Adamu na wote walipewa mamlaka sawa ila baada ya uumbaji ule ndipo mungu akatambua Samael(Lucifer)alikuwa na nia ovu na kinyongo kwa Elohim ambae ndie alieumba Mbingu na nchi na kisha akamshauri mungu waumbe wanadamu kwa mifano yao (mw.1:28,Zab.8)

Kuumbwa pamoja soma (Mwa.1:27na waebrania 2:6-8)hapo utaona mke wa kwanza wa Adamu
Kisha soma (mwa.2:22)inatanabaisha Hawa kama mke wa pili wa Adamu

Somo hili ni refu jamani na ili uelewe inabidi usiwe mfia dini pekee ila uwe mfia dini wa kumjua mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…