Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Kama vitabu vyako haviwezi kuthibitishwa kwamba ni vya ukweli na si hadithi tu, na wewe unavichukulia kama vya ukweli, hata usipojadiliana nami, ukaendelea kuvitumia hivyo vitabu kama vya ukweli na si hadithi tu, hata wewe mwenyewe utakuwa unajipotezea muda tu.
Ukianza kusema hivyo mi pia naweza sema hivi; "Sina hakika kama Kiranga ni mtu au JINI cause sina prove yoyote ya kunithibitishia kama wewe ni binadamu au laa cause sijawahi kukuona"
 
Tatizo hujui tofauti ya "sina prove" na "sina proof".

Unaelewa hata ukiwa huna hakika kwamba mimi ni mtu au jini, hilo halithibitishi Mungu yupo?

Kiranga si tatizo. Unaweza kujikubalisha ni jini.

Lakini hata ukifanya hivyo. Hilo bado halijathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi Kiranga, usijoe ufahamu; kwanza kule kuwepo kwa neno MUNGU tu kunaonesha yes HE IS and He is somewhere; hakuna kitu duniani ambacho JINA lake lipo halafu hicho KITU hakipo. Tunaweza bishana tuwezavyo but still haiondoi ukweli kwamba Mungu yupo though we can't see Him or even touch Him, vitu kama UPEPO, HEWA nk na vyenyewe wala hatuvioni though tunaona matendo yake halikadhali Mungu as well. Babu zetu walikua wna style yao ya kuabudu, no body taught them about Mungu but mambo yalivyo kua yakiwawia magumu then walikua wana kwenda kuabudu, ni vile tulibadiri style ya kuabudu from the way our forefathers walivyo kua wakiabudu na sisi leo, haya yanaonesha kwamba there is a super natural power somewhere and that super natural power is that what we call GOD
 
"Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi tu..." Damn it.

Andika Kiswahili tu mazee. Unataka kutapisha watu wanaoheshimu lugha za watu.

Unasema neno Mungu tu linaonesha yupo.

Nikisema wewe mse.nge mimi kusema wewe mse.nge kunakufanya wewe uwe mse.nge?
 
Uwepo wa neno mse.nge linathibitisha kwamba hao watu wapo, kama wasingekuwepo then hata hilo neno nalo lisingekuwepo, sasa wewe kua mse.nge au kutokua mse.nge hakuondoi maana kwamba wase.nge hawapo. Narudia, ntu yeyote mwenye akili timamu anaposikia uwepo wa jina la kitu hua anajua kwamba hicho kitu kipo hata kama yeye hajawahi kukiona, haiwezekani jina la kitu liwepo halafu hicho kitu kiwe hakipo. ni hivyo tu
 
Nimekuuliza kwamba. Nikikuita wewe mse.nge hilo linakufanya uwe mse.nge?

Hujajibu swali nililouliza na ulilojibu sijauliza.

Aristablus Elvis Musiba kaandika vitabu vya kachero Willy Gamba.

Hilo lina maana kuna kachero wa Tanzania anaitwa Willy Gamba?

Nikisema kuna "pembetatuduara" hilo linamaanisha kuna pembetatu ambayo ni duara?

If I say "ether" does that mean the ether exists simply because I mentioned it?

Kusema kitu hakukifanyi kiwepo.

Ingekuwa hivyo, ningesema mimi nintrillionaire na hapo hapo ningekuwa trillionaire.

Thibitisha Mungu yupo. Usilazimishe.
 
"Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi tu..." Damn it.

Andika Kiswahili tu mazee. Unataka kutapisha watu wanaoheshimu lugha za watu.

Unasema neno Mungu tu linaonesha yupo.

Nikisema wewe mse.nge mimi kusema wewe mse.nge kunakufanya wewe uwe mse.nge?
Uwepo wa neno mse.nge linathibitisha kwamba hao watu wapo, kama wasingekuwepo then hata hilo neno nalo lisingekuwepo, sasa wewe kua mse.nge au kutokua mse.nge hakuondoi maana kwamba wase.nge hawapo. Narudia, ntu yeyote mwenye akili timamu anaposikia uwepo wa jina la kitu hua anajua kwamba hicho kitu kipo hata kama yeye hajawahi kukiona, haiwezekani jina la kitu liwepo halafu hicho kitu kiwe hakipo. ni hivyo tu
Jino kwa jino....ngunguri kwa ngangari
 
Mkuu hii ni hadithi ya kufikirika tu, kwanza kumbuka Adamu hakuzaliwa bali aliumbwa kutoka kwenye udongo. Kama MUNGU alimuumba huyo Lilith kabla ya Eva, basi ingeandikwa kwenye Biblia wala isingefichwa.

Biblia inasema KWELI na wala haidanganyi. Kilichoandikwa kwenye Biblia ni kweli tupu. Shetani anapenda sana uongo na ndiyo maana amekuwa akija na hadithi nyingi za kutunga za uongo kama hii ya kwako ili awapotoshe Wanadamu wauamini uongo kuliko KWELI ya NENO la MUNGU.
Mkuu mwandishi kakosea kuandika ..kuumbwa kwa kuandika kuzaliwa..Sasa kasome Genesis 1:27, 2:22 na Isaya 34:14
Au ukitata zaidi soma The Cronicles of The Bible
 
Mkuu yote hayo nimesoma na hakuna UKWELI wowote ule unaomuhusu Lilith. Narudia tena kusema, maandiko yenye kupotosha UKWELI wa NENO la MUNGU ni mengi sana duniani. Na yote hiyo ni kazi ya Ibilisi Shetani ili wanadamu wasiamini NENO LA KWELI na waamini uongo. Kwa njia hii Shetani amefanikiwa sana kuwateka wanadamu wengi sana sababu wanadamu wanapenda sana hadithi za uongo kuliko zile za KWELI.
 
Niko tayari kutoka nje kama utanishawishi kwa hoja...na angalau evidence kidogo maana mambo ya imani ya limited evidence mi nataka kukuuliza ulishawahi kusoma the book of enoch? Kama hujasoma nikutumie kitakusaidia sana hicho kitabu hakijawekwa kwenye biblia ila kinatumika na wakristu jitahidi ukisome utaelewa haya mambo unayoyasema kwa undani sana
Enoch ni babu yake na nuhu, aliishi miaka 300 na akapaa mbinguni, alikuwepo kipindi wale malaika wanashuka kuja kutoka mbinguni na kulala na binti za binadamu...kumbuka adamu alikua babu yake enoch kwa vizazi vichache mno na Enoch ameandika kwa undani mambo hayo mnayoyazungumzia bila uhakika...kipo kisome naamini na ww utatoka nje ya box la iman yako unayoiamini
Naomba unitumie.
 
Mungu ana uwezo wa kujua yajayo; Je tukisema Mwenyezi Mungu alijua yote haya yatatimia neno la uumbaji wetu litimie nitakuwa nimesema urongo?

Je kama Adamu asingekubali kula lile Tunda je sisi binadamu tungezaliana kwa namna ipi zaidi ya hii ya kujamiiana ambayo imetokana na kula tunda
 
Yote yanayotokea ni ufunuo la sivyo kuna jambo lilienda kombo mwanzoni kabisa jambo ambalo hata hivyo ni vigumu mno kutokea
 
Mshana, Lilith ni hekaya za zamani za story za wagiriki kama za kina atlas, Medusa na kina Hercules...Kwa kibiblia Lilith hayupo naverse zinazomtaja hakuna ni hisia tu...Jiulize kama Lilith alizaliwa atajuaje siri ya uumbaji? MUNGU halinganishwi na binadamu yoyote wala malaika, Hafanani nao...MUNGU hafi, wala kuangamizwa, MUNGU Ndio Top Boss hana wa kumuhangaisha, na kwa taarifa yako huyo shetani nae huenda mbele za MUNGU akisujudu...rejea kitabu cha AYUBU
Lazima kuna aliemuumba uyo mungu wenu asiejulikana
 
Biblia imeandikwa na watu waliokuwa wakiongozwa na MUNGU au nguvu za MUNGU. Mfano vitabu vitano vya kwanza vya Biblia viliandikwa na Musa, mtumishi na Nabii wa MUNGU. BWANA MUNGU hasemi uongo na wala kwake hakuna uongo, hivyo hata Manabii wa kweli wa MUNGU hawasemi uongo.

Ukisoma historia ya namna Biblia ilivyounganishwa na kuwa kitabu kimoja, utaona kwamba kuna watu walitaka vitabu vyenye maudhui ya uongo vijumuishwe kwenye Biblia lakini watu wenye kuongozwa na ROHO WA MUNGU, yaani ROHO MTAKATIFU wakakataa kata kata kuvijumuisha vitabu hivi vyenye maandiko yenye uongo.

Mkuu Jane Msowoya hii dunia iliumbwa na MUNGU na yeye BWANA MUNGU anayomamlaka yote juu ya dunia hii hata kama ameacha kwa muda fulani Shetani afanye atakavyo, lakini muda huo ukiisha hata wewe utajua kuwa kweli BIBLIA lilikuwa NENO la KWELI la MUNGU. Bado kitambo kidogo utajua tuu..!
Sio kweli maana hakuna naefaham kama kuna uwepo wa mungu ama alikwisha ishi karibu na binadamu yeyote yule duniani hakuna mungu,ao waliandika wao kama wao pia hakuna cha ajabu ndani ya bibilia zaidi ya yale yaliyotukia hapo nyuma ndomana tunaita vitabu vya historia.
 
tatizo lako unasoma hekaya na simulizi nyingine kama talmud,tamil scriptures na vingine ambavyo vinaongea vitu vya uwongo,nimekuambia uniambie ni wapi kwenye biblia imetajwa lilith alikua mke wa adam ukachemka,huyo lilith katajwa kama mnyama na hayawani wa mwituni na Nabii isaya mara moja tu,sasa iweje awe mke wa Adam? achana na hizo hekaya maana kuna nyingine zina kufuru na kusema Yesu Alikua na Mke,je na hizo tuziamini? kitabu pekee cha kuamini ni biblia,hivi vingine kama wewe sio mkristu soma kujifurahisha tu,ukiongea kwa watu wanaojitambua unaonekana mwendawazimu tu
Bibili ni kitabu cha hadithi za kukuza watoto kama wewe hilo nalo hujui?
 
Sio kweli maana hakuna naefaham kama kuna uwepo wa mungu ama alikwisha ishi karibu na binadamu yeyote yule duniani hakuna mungu,ao waliandika wao kama wao pia hakuna cha ajabu ndani ya bibilia zaidi ya yale yaliyotukia hapo nyuma ndomana tunaita vitabu vya historia.
Wewe siyo wa kwanza kusema hakuna MUNGU, kabla yako wewe walikuwepo watu wenye nguvu, watu maarufu, wafalme waliotawala dunia kama akina Nebukadreza, ambao walisimama na kutangaza mbele ya maelfu ya watu kuwa hakuna MUNGU. Hivyo siyo ajabu leo hii wewe ukisema hakuna MUNGU sababu huna jipya.

Lakini fahamu kwamba huyu Nebukadreza alipouona "mkono" wa MUNGU, yeye mwenyewe alijirudi na kusema hakika yupo BWANA MUNGU na hakuna wa kufanana na YEYE! Hata wewe ipo siku utauona utukufu wa MUNGU na hapo ndipo utapiga magoti na kusujudu, lakini utakuwa umechelewa sana.
 
Haleluyah.....Aaaamen.....kwake yeye kila goti litapigwa
 
Back
Top Bottom