Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ukianza kusema hivyo mi pia naweza sema hivi; "Sina hakika kama Kiranga ni mtu au JINI cause sina prove yoyote ya kunithibitishia kama wewe ni binadamu au laa cause sijawahi kukuona"
 
Ukianza kusema hivyo mi pia naweza sema hivi; "Sina hakika kama Kiranga ni mtu au JINI cause sina prove yoyote ya kunithibitishia kama wewe ni binadamu au laa cause sijawahi kukuona"
Tatizo hujui tofauti ya "sina prove" na "sina proof".

Unaelewa hata ukiwa huna hakika kwamba mimi ni mtu au jini, hilo halithibitishi Mungu yupo?

Kiranga si tatizo. Unaweza kujikubalisha ni jini.

Lakini hata ukifanya hivyo. Hilo bado halijathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi Kiranga, usijoe ufahamu; kwanza kule kuwepo kwa neno MUNGU tu kunaonesha yes HE IS and He is somewhere; hakuna kitu duniani ambacho JINA lake lipo halafu hicho KITU hakipo. Tunaweza bishana tuwezavyo but still haiondoi ukweli kwamba Mungu yupo though we can't see Him or even touch Him, vitu kama UPEPO, HEWA nk na vyenyewe wala hatuvioni though tunaona matendo yake halikadhali Mungu as well. Babu zetu walikua wna style yao ya kuabudu, no body taught them about Mungu but mambo yalivyo kua yakiwawia magumu then walikua wana kwenda kuabudu, ni vile tulibadiri style ya kuabudu from the way our forefathers walivyo kua wakiabudu na sisi leo, haya yanaonesha kwamba there is a super natural power somewhere and that super natural power is that what we call GOD
 
"Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi tu..." Damn it.

Andika Kiswahili tu mazee. Unataka kutapisha watu wanaoheshimu lugha za watu.

Unasema neno Mungu tu linaonesha yupo.

Nikisema wewe mse.nge mimi kusema wewe mse.nge kunakufanya wewe uwe mse.nge?
 
"Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi tu..." Damn it.

Andika Kiswahili tu mazee. Unataka kutapisha watu wanaoheshimu lugha za watu.

Unasema neno Mungu tu linaonesha yupo.

Nikisema wewe mse.nge mimi kusema wewe mse.nge kunakufanya wewe uwe mse.nge?
Uwepo wa neno mse.nge linathibitisha kwamba hao watu wapo, kama wasingekuwepo then hata hilo neno nalo lisingekuwepo, sasa wewe kua mse.nge au kutokua mse.nge hakuondoi maana kwamba wase.nge hawapo. Narudia, ntu yeyote mwenye akili timamu anaposikia uwepo wa jina la kitu hua anajua kwamba hicho kitu kipo hata kama yeye hajawahi kukiona, haiwezekani jina la kitu liwepo halafu hicho kitu kiwe hakipo. ni hivyo tu
 
Nimekuuliza kwamba. Nikikuita wewe mse.nge hilo linakufanya uwe mse.nge?

Hujajibu swali nililouliza na ulilojibu sijauliza.

Aristablus Elvis Musiba kaandika vitabu vya kachero Willy Gamba.

Hilo lina maana kuna kachero wa Tanzania anaitwa Willy Gamba?

Nikisema kuna "pembetatuduara" hilo linamaanisha kuna pembetatu ambayo ni duara?

If I say "ether" does that mean the ether exists simply because I mentioned it?

Kusema kitu hakukifanyi kiwepo.

Ingekuwa hivyo, ningesema mimi nintrillionaire na hapo hapo ningekuwa trillionaire.

Thibitisha Mungu yupo. Usilazimishe.
 
"Proves uwepo wa Mungu zipo nyingi tu..." Damn it.

Andika Kiswahili tu mazee. Unataka kutapisha watu wanaoheshimu lugha za watu.

Unasema neno Mungu tu linaonesha yupo.

Nikisema wewe mse.nge mimi kusema wewe mse.nge kunakufanya wewe uwe mse.nge?
Jino kwa jino....ngunguri kwa ngangari
 
Hapana, that is what we call "disanalogy".

Disanalogy haiwezi kuwa jinokwa jino kamwe.
You are an expert in taking one off mood....but not all of them are amateurs..[emoji23] [emoji3] [emoji23]
 
Mkuu mwandishi kakosea kuandika ..kuumbwa kwa kuandika kuzaliwa..Sasa kasome Genesis 1:27, 2:22 na Isaya 34:14
Au ukitata zaidi soma The Cronicles of The Bible
 
Mkuu mwandishi kakosea kuandika ..kuumbwa kwa kuandika kuzaliwa..Sasa kasome Genesis 1:27, 2:22 na Isaya 34:14
Au ukitata zaidi soma The Cronicles of The Bible
Mkuu yote hayo nimesoma na hakuna UKWELI wowote ule unaomuhusu Lilith. Narudia tena kusema, maandiko yenye kupotosha UKWELI wa NENO la MUNGU ni mengi sana duniani. Na yote hiyo ni kazi ya Ibilisi Shetani ili wanadamu wasiamini NENO LA KWELI na waamini uongo. Kwa njia hii Shetani amefanikiwa sana kuwateka wanadamu wengi sana sababu wanadamu wanapenda sana hadithi za uongo kuliko zile za KWELI.
 
Naomba unitumie.
 
Mungu ana uwezo wa kujua yajayo; Je tukisema Mwenyezi Mungu alijua yote haya yatatimia neno la uumbaji wetu litimie nitakuwa nimesema urongo?

Je kama Adamu asingekubali kula lile Tunda je sisi binadamu tungezaliana kwa namna ipi zaidi ya hii ya kujamiiana ambayo imetokana na kula tunda
 
Yote yanayotokea ni ufunuo la sivyo kuna jambo lilienda kombo mwanzoni kabisa jambo ambalo hata hivyo ni vigumu mno kutokea
 
Lazima kuna aliemuumba uyo mungu wenu asiejulikana
 
Sio kweli maana hakuna naefaham kama kuna uwepo wa mungu ama alikwisha ishi karibu na binadamu yeyote yule duniani hakuna mungu,ao waliandika wao kama wao pia hakuna cha ajabu ndani ya bibilia zaidi ya yale yaliyotukia hapo nyuma ndomana tunaita vitabu vya historia.
 
Bibili ni kitabu cha hadithi za kukuza watoto kama wewe hilo nalo hujui?
 
Wewe siyo wa kwanza kusema hakuna MUNGU, kabla yako wewe walikuwepo watu wenye nguvu, watu maarufu, wafalme waliotawala dunia kama akina Nebukadreza, ambao walisimama na kutangaza mbele ya maelfu ya watu kuwa hakuna MUNGU. Hivyo siyo ajabu leo hii wewe ukisema hakuna MUNGU sababu huna jipya.

Lakini fahamu kwamba huyu Nebukadreza alipouona "mkono" wa MUNGU, yeye mwenyewe alijirudi na kusema hakika yupo BWANA MUNGU na hakuna wa kufanana na YEYE! Hata wewe ipo siku utauona utukufu wa MUNGU na hapo ndipo utapiga magoti na kusujudu, lakini utakuwa umechelewa sana.
 
Haleluyah.....Aaaamen.....kwake yeye kila goti litapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…