Sizungumzii mtu yeyote nazungumzia wewe
@mshanajr soma post #281, post #282 ya kwako. Halafu soma post hii ya kwako tena.Mungu ni pumzi ya uhai...ni roho ...hawezi kuwa na visible evidence
Why shouldn't I mind? Why do you think you are the one to make the decision on what to mind and what not to mind?Never mind about that... Nijibu
Huko mbali nijibu nilichokuuliza
Kina jully ni vicheche kwa kiwango cha lami. Nishakuwa nao kwenye mahusiano wawiliHata July mana naona inasound the same alichonifanya Lilith tu anajua
Ni mbali kwenye majibu yako rejea swali la msingiMbali kwa kipimo cha nani?
Umenikanyaga kwenye basi, nakuuliza kwa nini umenikanyaga, badala ya kuniomba samahani, wewe ndiye unaniambia mimi nisijali?
Wakati kama kuna mtu wa kusema "usijali" ni mimi kukuambia wewe?
Unaelewa kwamba umeharibu halafu unakimbia maswali sasa?
Mwanzo yote mkuuKitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....
Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.
Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni
JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL
Na wengine wengi.
Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.
Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Nirejee swalila msingi wakati wewe hutaki kujibu maswali yangu? Kama jibu langu la swali la msingi linategemea majibu yako ya maswali yangu yaliyofuatia nitakujibu vipi swali la msingi bila wewe kunijibu mimi?Ni mbali kwenye majibu yako rejea swali la msingi
Je nalazimika kukujibu wewe kabla wewe hujanijibu!?Nirejee swalila msingi wakati wewe hutaki kujibu maswali yangu? Kama jibu langu la swali la msingi linategemea majibu yako ya maswali yangu yaliyofuatia nitakujibu vipi swali la msingi bila wewe kunijibu mimi?
Kama unataka mjadala wenye uwiano na urari wa majibizano, huo ni wajibu.Je nalazimika kukujibu wewe kabla wewe hujanijibu!?
Asante kwa muda wako......Kama unataka mjadala wenye uwiano na urari wa majibizano, huo ni wajibu.
Ndiyo maana miminakujibu hapa, kwa sababu, nisipokujibu, sielewi kutokukujibu kwangu kutaathiri vipi majadiliano kwa ujumla.
Lakini kama hutaki mjadala wenye uwiano na urari mzuri wa majibizano, hulazimiki, unaweza kuyakimbia tu maswali.