Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Mungu ni pumzi ya uhai...ni roho ...hawezi kuwa na visible evidence
@mshanajr soma post #281, post #282 ya kwako. Halafu soma post hii ya kwako tena.

Naona kuna mahala flani mnajichanganya, mwenzako anadai yupo aliyemuona mungu mkono wake, wewe ukasema kila goti kwake litapgwa... Haleluyaah tena wewe unadai mungu ni roho haiko tangiable..

Hvi unaposema mungu ni roho una maana gani?

Mwenzako anapodai mungu alionekana mkono na akakiri uwepo wake anakuwa na maana ipi?

Kujichanganya kwa majibu yenu ndiko kunawafanya muendlee kupoteza muda kumtafuta mungu ambye mnashndwa kumuelezea vema au mkimuelezea mnajipinga wenyewe..
 
Huko mbali nijibu nilichokuuliza

Mbali kwa kipimo cha nani?

Umenikanyaga kwenye basi, nakuuliza kwa nini umenikanyaga, badala ya kuniomba samahani, wewe ndiye unaniambia mimi nisijali?

Wakati kama kuna mtu wa kusema "usijali" ni mimi kukuambia wewe?

Unaelewa kwamba umeharibu halafu unakimbia maswali sasa?
 
Ni mbali kwenye majibu yako rejea swali la msingi
 
Kitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....

Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.

Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni

JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL

Na wengine wengi.

Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.

Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Mwanzo yote mkuu
 
Ni mbali kwenye majibu yako rejea swali la msingi
Nirejee swalila msingi wakati wewe hutaki kujibu maswali yangu? Kama jibu langu la swali la msingi linategemea majibu yako ya maswali yangu yaliyofuatia nitakujibu vipi swali la msingi bila wewe kunijibu mimi?
 
Je nalazimika kukujibu wewe kabla wewe hujanijibu!?
 
Je nalazimika kukujibu wewe kabla wewe hujanijibu!?
Kama unataka mjadala wenye uwiano na urari wa majibizano, huo ni wajibu.

Ndiyo maana miminakujibu hapa, kwa sababu, nisipokujibu, sielewi kutokukujibu kwangu kutaathiri vipi majadiliano kwa ujumla.

Lakini kama hutaki mjadala wenye uwiano na urari mzuri wa majibizano, hulazimiki, unaweza kuyakimbia tu maswali.
 
Asante kwa muda wako......
 
Kitendo cha kutaja tu Mungu aliagiza hiki kwa namna hii, huyu alipewa maono na Mungu, na vingine vilivyomuhusisha yeye inatosha kuamini kuwa jamii zao zilikuwa zinaamini kuwa Mungu yupo, ambacho kizazi hicho tumekirthi, sasa hoja yangu kubwa ni kwamba tafiti nyingi hazituelekezi kuwa Mungu yupo Bali zinatuma contradictions kwamba jamii ya sasa tumtafute Mungu kwa kuwa jamii ya zamani tafiti zao zina makandokando, labda kama mwezangu unataka kuniaminisha mini kipya?
 
Back
Top Bottom