Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Isaya 34:14 hajatajwa Lilith labda kama umekosea kunukuu, jaribu kupitia tena hill neno
 
Umeandika vyema. Huwa lazima umalizie na sentensi, "mwenyewe sikubaliani na habari hizi"..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babewatoto ni mmojawapo ya majina ya lilith

Jr[emoji769]
Babewatoto ni wanyama wanao ona usiku au kuwinda usiku mfano popo na bundi, bado sijapata connection na Lilith. Au na yeye ni bundi? Kama ni mojawapo ya majina yake, mengine ni yapi?

Hivyo tunakubaliana kuwa jina 'Lilith' halipo kabisa katika biblia
 
Ngoja nakualika kwenye mada ya succubi utaelewa zaidi

Jr[emoji769]
 
Kuna biblia ya English version inamtaja huyo babewatoto kuwa ndio Lilith


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makala kama hizi waandishi wengi wanamalizia na sentensi hiyo kwenye mabano.

Fredius Snowden,

5th Avenue Madson, NY758, USA
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji144][emoji144][emoji144]ok ok sawa nimekuelewa

Jr[emoji769]
 
Wakuu, itifaki imezingatiwa

Sina ubini wa dini wala kabila

Juzi kati hapo nilikuwa nabishana sana na mshkaji mmja akiwa ananieleza habari za watu wa siloamu
Nikamuuliza kuhusu habari za uumbaji, Nikamuuliza kama LILITH,
Alichonijibu nilitahamaki sana akasema yule ni mwanamke mbaya sana, na ndo Catholic Wanamwabudu indirect kwa mgongo wa bikira maria
Kwenu Wana Intelligence
Mnipe uhusiano wa huyu mwanamke na MAMA WA YESU
na kama kweli wa ROMA wanamuabudu

Bendera iendelee kupepea nusu mlingoti!!!!!
 
Mmh... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]kwa hili hapana napingana nao... Naona hawajasoma vizuri sifa za Lilith
 
Hii hadithi si kweli
Kama mungu alimuumba na adamu na walifanana alitoa wapi uwezo wa kuishi hata leo wakati binadamu alieishi muda mrefu (kibblia ) alikuwa methusela mwana wa enock miaka 969
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…