nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Isaya 34:14 hajatajwa Lilith labda kama umekosea kunukuu, jaribu kupitia tena hill neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika vyema. Huwa lazima umalizie na sentensi, "mwenyewe sikubaliani na habari hizi"..View attachment 692867
Lilith anayesemekana ni mke wa kwanza wa Adam... Hatajwi popote kwenye Biblia takatifu zaidi ya kwenye kitabu cha Isaya 34 : 14, na ambapo hata hivyo kutajwa kwake hakuna mahusiano kabisa na Adam
Kuna simulizi nyingi nje ya Biblia zinazokinzana na nyingine kushabihiana kumhusu mwanamama huyu Lakini zote zinakubaliana katika jambo moja kuwa Lilith alimwacha Adam kwakuwa hakutaka kuwa chini ya amri za mwanaume... Hakutaka kuongozwa wala kutawaliwa na mwanaume kwa utetezi kwamba, wote waliumbwa siku moja na kwa malighafi zinazofanana.. Hivyo hakuna mkubwa kuliko mwingine....
Sasa asili ya Lilith ni nini!? Ni wapi?
Lilith anaonekana mara nyingi kwenye Biblia ya kiebrania na huko anajulikana kama malkia wa usiku, pepo katili la usiku lenye tamaa kubwa ya ngono... Huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuiba watoto gizani usiku... Lilith sio jina jema popote zaidi ya kwenye imani za kipagani na kishetani.
Asili ya Lilith inatajwa sana kwenye simulizi za wayahudi (c 700-1000)... Hapa anatajwa kama mke wa kwanza wa Adam waliyeumbwa pamoja (mwanzo 1:27, kisha akafuatia mke wa pili wa Adam baada ya Lilith kuondoka (mwanzo 2:22)... Hapa inasemekana Lilith alimuacha Adam kwenye bustani ya Eden na hakutaka kurudi huko na kwenda kugawa kipochi manyoya kwa malaika muasi aliyeitwa samael.... Lakini pia simulizi nyingine zinasema aliondoka na kwenda kungonoka na shetani ili kuendeleza kizazi na uzao wa shetani....
Hii inaweza kuleta uhalisia kidogo kutokana na vile satanism wanavyomchukulia Lilith... Kumuamini na kumwabudu kama mungu mwanamke, mke wa baba yao shetani
Hizi zote ni simulizi nje ya Biblia takatifu lakini kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba kuna hicho kiumbe chenye jinsia ya kike kiitwacho Lilith ambacho hakuna popote kinatajwa kwq wema... Kuna mahali anaelezewa kama mchawi, pepo aliyengonoka na shetani kwa makusudi mazima ya kuendeleza kizazi chao kama tulivyoona hapo juu....
View attachment 692866
Ibada za kutoa kafara katika satanism
Isaya 34:14 Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa mwitu, na beberu anamwita mwenziwe, naam babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.Hebu liweke lote hapa tuelimishane
Jr[emoji769]
SijakuelewaUmeandika vyema. Huwa lazima umalizie na sentensi, "mwenyewe sikubaliani na habari hizi"..
Sent using Jamii Forums mobile app
Babewatoto ni wanyama wanao ona usiku au kuwinda usiku mfano popo na bundi, bado sijapata connection na Lilith. Au na yeye ni bundi? Kama ni mojawapo ya majina yake, mengine ni yapi?Babewatoto ni mmojawapo ya majina ya lilith
Jr[emoji769]
Ngoja nakualika kwenye mada ya succubi utaelewa zaidiBabewatoto ni wanyama wanao ona usiku au kuwinda usiku mfano popo na bundi, bado sijapata connection na Lilith. Au na yeye ni bundi? Kama ni mojawapo ya majina yake, mengine ni yapi?
Hivyo tunakubaliana kuwa jina 'Lilith' halipo kabisa katika biblia
Kuna biblia ya English version inamtaja huyo babewatoto kuwa ndio LilithBabewatoto ni wanyama wanao ona usiku au kuwinda usiku mfano popo na bundi, bado sijapata connection na Lilith. Au na yeye ni bundi? Kama ni mojawapo ya majina yake, mengine ni yapi?
Hivyo tunakubaliana kuwa jina 'Lilith' halipo kabisa katika biblia
Nialike na Mimi babe ake demiss ..Ngoja nakualika kwenye mada ya succubi utaelewa zaidi
Jr[emoji769]
Siwezi kupinga kwa sababu kuna tafsiri nyingi, ila mi nimepitia mbili, moja inamtaja "night creature" na nyingine " nocturnal creature", ambapo maana ni ile ile ya babewatotoKuna biblia ya English version inamtaja huyo babewatoto kuwa ndio Lilith
Sent using Jamii Forums mobile app
Makala kama hizi waandishi wengi wanamalizia na sentensi hiyo kwenye mabano.Sijakuelewa
Jr[emoji769]
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Nialike na Mimi babe ake demiss ..
Ila kuna bible imemtaja Lilith ya English version
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]kwa hili hapana napingana nao... Naona hawajasoma vizuri sifa za LilithWakuu, itifaki imezingatiwa
Sina ubini wa dini wala kabila
Juzi kati hapo nilikuwa nabishana sana na mshkaji mmja akiwa ananieleza habari za watu wa siloamu
Nikamuuliza kuhusu habari za uumbaji, Nikamuuliza kama LILITH,
Alichonijibu nilitahamaki sana akasema yule ni mwanamke mbaya sana, na ndo Catholic Wanamwabudu indirect kwa mgongo wa bikira maria
Kwenu Wana Intelligence
Mnipe uhusiano wa huyu mwanamke na MAMA WA YESU
na kama kweli wa ROMA wanamuabudu
Bendera iendelee kupepea nusu mlingoti!!!!!
Mbona huu uzi unajitegemea kabisa ulinakuwaje mods wanaunganisha huku bwana mshana JrMmh... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]kwa hili hapana napingana nao... Naona hawajasoma vizuri sifa za Lilith