Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

[emoji23][emoji23]msini tanie naka mtto kanaitwa lili mtto ana nyota nkiwa nae sikosi hela
Lily mademu wako super sana nashangaa hawa wakuda hapa wanamdiss. Hakuna demu romantic kama akina lily/lilian halafu wengi wapole sana hadi raha. Wana mapenzi hadi unatamani kuoa kabla hujajenga kwako!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mambo haya yanapatikana ktk kitabu gani Mkuu?
 
Na ile dhana ya kuwa, mti wa katikati ilikuwa ni kujamiiana kati ya joka na eva/hawa nayo itasimama wapi isitoshe, hapa kati ya Lilith na Eva/hawa wote watakuwa ni jinsia moja?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa umepotoka, huwezi kujadili maandiko ya Biblia kwa kutumia maandiko nje ya hiyo hiyo Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafikirisha. Ukisoma mwanzo 1:27 unaona Mungu aliumba mtu mume na mtu mke kwa mfano wake siku ya 6. Ukisoma mwanzo 2:23 unaona Mungu baada ya kumwona Adam ni mpweke akaamua kumfanyia msaidizi kutoka kwnye ubavu wake ambaye ni Eva, kwa maana hyo unaona kabsa eva hakuumbwa siku moja na adam, baada ya adam kuonekana mpweke ndipo yalifanyika maamuzi ya kuumba msaidizi (eve)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa umepotoka, huwezi kujadili maandiko ya Biblia kwa kutumia maandiko nje ya hiyo hiyo Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
.

Jr[emoji769]
 
Hapa pia kuna habari nyingine ya Lilith. Ukifuatilia video yote utaipata habari hii kwenye episode7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…