Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu nahisi halijaeleweka vizuri,Hiyo mistari naielewa mkuu,kama ni adam...then Adam aliumbwa mara mbili??
Mkuu aya hiyo ya pili ambayo mwandishi anazungumzia haizungumzii kuumbwa tena kwa adamu(mwanaume) bali unazungumzia kuumbwa kwa Eva tena kutoka ubavuni mwa adamu. Nadhani mwandishi yupo sawa,maana mwanzo waliumbwa wawili lkn baadae aliumbwa mmoja tena kutokana na yule mwingine!Swali langu nahisi halijaeleweka vizuri,Hiyo mistari naielewa mkuu,kama ni adam...then Adam aliumbwa mara mbili??
Hahahaha..watu hawajakuelewa umemtaja Membe badala ya Mende...kumbe kifo cha membe kimeanza kitambo hvy eee
Na mwanzilishi ni Adam 😷😷😷😷Hahahaha..watu hawajakuelewa umemtaja Membe badala ya Mende...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngonjera tupu ulizozileta hapa, Mwanzo 1:26-27 Mungu alipendekeza kumuumba Mtu kwa mfano wake na aliumba Mtu, nasisitizia Mungu aliumba Mtu, lakini utaona dhahiri kabisa tangu Mungu alipofanya huo uumbaji ktk Mwanzo 1:26-27 ni Adamu pekee ndiye anayezungumziwa hapo.
Mwanzo 2:18 Mungu anaeleza "si vyema huyo Mtu/Adamu awe pekeyake na wakati huo ni Adamu ndiye aliyekatazwa asile Mti wa kujua mema na mabaya.
Mwanzo 2:21-22 Mungu anaeleza jinsi msaidizi wa Adamu "Hawa/Ever" alivyoumbwa tokana na Adamu, ndiyomaana MWAANZO 1:26 hakuna palipoandikwa "na tuwafanye Watu kwa mifano yetu" bali "na tumfanye Mtu kwa mfano wetu"
Pia Adamu/Mwanaume aliumbwa kwa utukufu wa Mungu ndiyomaana humpendeza Mungu Mwanaume awe kichwa cha familia na awe na kibali cha kuacha nywele ziwe wazi kichwani LAKINI Mwanamke/Hawa/Ever aliumbwa kwa utukufu/ajili ya Mwanaume ili awe anaonekana ktk hali ya kumilikiwa/kutawaliwa chini ya Mwanaume/Adamu anapaswa kufunika nywele za kichwa chake.
BIBLIA INANENA KWELI TUPU NA MUNGU NI YULE YULE HABADILIKI KAMWE HATA APINGANE NA NENO LAKE "ALFA NA OMEGA" MILELE ZOTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo 2:18 Mungu anaeleza "si vyema huyo Mtu/Adamu awe pekeyake na wakati huo ni Adamu ndiye aliyekatazwa asile Mti wa kujua mema na mabaya.
Mwanzo:1.26Mwanzo 2:21-22 Mungu anaeleza jinsi msaidizi wa Adamu "Hawa/Ever" alivyoumbwa tokana na Adamu, ndiyomaana MWAANZO 1:26 hakuna palipoandikwa "na tuwafanye Watu kwa mifano yetu" bali "na tumfanye Mtu kwa mfano wetu"
Watu sio wapekuzi wa elimu, hii uliitoa kitambo na ulikua mjadala mrefu sana . mleta thread afungue hio link, akimaliza kusoma nafikiri atauliza kwa kutokea upande mwingine kuongezea maarifa.