Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Sasa nikwambie kitu hii ya sasa ndio imechakachuliwa hasa.. Ngoja kuna moja nitakutafutia edition yake ulingalishe uone
Hii iko vizuri uchakachuzi wake unabainika haraka sana, hata ukikamata biblia za kiswahili tano tu kwa pamoja unakamata wapi ndugu shetani anadanganya.
 
Hii iko vizuri uchakachuzi wake unabainika haraka sana, hata ukikamata biblia za kiswahili tano tu kwa pamoja unakamata wapi ndugu shetani anadanganya.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Moderator
Paw
Invisible
Cookie
Active

Naomba kuleta lalamiko rasmi... Hizi zilikuwa mada mbili tofauti lakini zikimhusu mtu mmoja...zimechanganywa na kuwa moja halafu bila mpangilio hivyo kukosa mtiririko na maana
Mbaya zaidi kuna mtu kaibeba post mojawapo tena kwa heading ileile na kuipost FB kama ilivyo wakati huku JF haipo tena ila maudhui yake yako kwenye mada nyingine... This is heart breaking

Ufunuo usiosemwa: je Lilith ndio nyoka wa Eden?

utata na mkanganyiko kuhusu Lilith.. Je alikuwa mke wa kwanza wa Adam?

Naomba tafadhali Moderator aliyeunganisha hizi mada mbili alitendee haki azitenganishe
 
Ustaaz alikuwa anavuta nyangusweswe mkuu si bure
 
Mkuu nakuuliza tena humu JF mabandiko hayana patent right
Inabidi walitazame hili kama hakuna
Mabandiko mengi yanaibwa kama hili bila hata aknwoledge
 
ndiyo maana tunasema Ulimwengu huu una mambo mengi sana tusiyoyajua.
 
Mkuu nakuuliza tena humu JF mabandiko hayana patent right
Inabidi walitazame hili kama hakuna
Mabandiko mengi yanaibwa kama hili bila hata aknwoledge
Yanachukuliwa mengi tu na huko yanaenda kutumika na watu wanapiga... Hili limenihuzunisha kwakuwa mada mbili tofauti zimeunganishwa na kuwa moja lakini bila mpangilio.. Halafu aliyeliiba akalichukua na heading kwenye Uzi mwingine
 
moderators waje kutusaidia
Nimeripoti mada kuchanganywa wako kimya sijui kama kwenye hili watakuja... Lakini kuna siku Melo alisema kuwa huwa hawana time ya kujibu mtu... Ilinivunja moyo na kunisononesha lakini kama ndio sera yao sina namna
CC: Cookie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…