Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Mkuu Maxence Melo nakukumbusha ahadi yako kwangu ya kutatua hili tatizo la hizi mada mbili kuunganishwa...
Nahangaika bila kuchoka kusisitiza ombi langu hili kwakuwa maandishi hayafutiki... Labda yafutwe... Kuna siku kuna mtu atakuja kusoma na kuona nimeandika nini sasa...
Nataka niwajibike kwa maandishi yangu na si kwa kosa la kusababishiwa na wengine
 
Najiuliza je? mungu akumuona Lilith wakati ana waza mabaya maana mungu yupo kila maala alafu anaju kila kitu mpaka mawazo yakila kiumbe : au alitaka yatokee
 
Najiuliza je? mungu akumuona Lilith wakati ana waza mabaya maana mungu yupo kila maala alafu anaju kila kitu mpaka mawazo yakila kiumbe : au alitaka yatokee
Ufunuo ni kitu kigumu sana
 
Kwa kufuatalia tunakuja kujua kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na lilith na baadae kuja hawa ?

Kwa anaefaham kuhuc historia hii tubadilishane mitazamo
 
Huyo Lilith alitajwa katika kitabiu gani kati ya Biblia ama Qurani ?
 
Biblia inajieleza vizuri kuwa ni Eva Hao ndio wazazi wetu wa mwanzo kulingana na maandiko.
 

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden?
 

Mambo makubwa ambayo yamefichwa kwenye vitabu vya dini
 
Inabidi utengeneze tolea la 27 la simulizi za Alfa ulela ulela
 
Halafu hazisemwi sana
Nilisoma habari za huyu mama. Na inaonekana tofauti yake ilianza pale Adam alipokuwa anakula kipochi monyoa jamaa akaambiwa mama akataka jamaa awe chini yeye awe juu mgegedo uendelee.

Hapo ndio tofauti ilipoanzia. Basi akaondoka akaenda kupakuliwa na ibilisi.
 
Hakulaaniwa kama alivyo laaniwa Adam na hawa,hakika mtakufa,ndo maana yuko hai
Kwa hiyo Adamu aliumbiwa jini ili amuoe au na yeye alikuwa jini ?
pia mbona adamu alikufa lakini huyo jini yupo hai ?
ila hii story ni kama vile melgibson ndani ya filamu ya yesu.
 
Yeah alitaka mamlaka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…