Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]alipigwa Adam babu mkubwa ndio utakuwa wewe bana!! Hakuna kulialia tena[emoji23] [emoji23]
Habari zako zakipumbavu usichanganye na bibilia hiyo isaya 34:14 haijamzungumzia huyo mwanamke wala mwanzo 1:27 fikili kabla ya kuzania vitu vya kutunga bibilia imetabili kwenye kitabu cha timotheo ,wakorintho na wakolosai kua nyakati za mwisho kama hizi kuta kua na story zakutunga zinazo husiana na dini mziepuke sasa ni hatari...
 
Habari zako zakipumbavu usichanganye na bibilia hiyo isaya 34:14 haijamzungumzia huyo mwanamke wala mwanzo 1:27 fikili kabla ya kuzania vitu vya kutunga bibilia imetabili kwenye kitabu cha timotheo ,wakorintho na wakolosai kua nyakati za mwisho kama hizi kuta kua na story zakutunga zinazo husiana na dini mziepuke sasa ni hatari...
Sorry naomba nikuulize kitu. Umeishia darasa la ngapi!? Umepata division ngapi!? Unaifahamu Biblia takatifu kwa kiasi gani? Una umri gani? Na ni nani aliyekuambia hizi ni nyakati za mwisho!?
 
Yawezekana ni kweli lakini nachokijua Mimi kuhusu Mungu aliye hai, ni kwamba kizazi ambacho hakuwa na makusudi nacho yaan yeye wala mjukuu wa hicho kizazi hutamsikia kwenye neno lake ambalo ni mpango wake.

Adamu amezaa watoto wengine baada ya Abel na Kaini lakini hawatajwi anatajwa Sethi, yes! Sethi ambaye aliamua kuchunguza na kumtafuta mungu ambaye yeye Sethi ni mwana kwake, Mungu hashughuriki na kizazi kisicho mtafuta kumjua, pia Mungu kama hana kusudi na kizazi chochote kitatoweka tu
 
Yawezekana ni kweli lakini nachokijua Mimi kuhusu Mungu aliye hai, ni kwamba kizazi ambacho hakuwa na makusudi nacho yaan yeye wala mjukuu wa hicho kizazi hutamsikia kwenye neno lake ambalo ni mpango wake......Adamu amezaa watoto wengine baada ya Abel na Kaini lakini hawatajwi anatajwa Sethi, yes! Sethi ambaye aliamua kuchunguza na kumtafuta mungu ambaye yeye Sethi ni mwana kwake, Mungu hashughuriki na kizazi kisicho mtafuta kumjua, pia Mungu kama hana kusudi na kizazi chochote kitatoweka tu
Inawezekana kabisa uko sahihi kwakuwa pia kuna watu huwaita wake na wengine huwaita wa mataifa
 
Sahihi mshana..
Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa WANA.
Kuna tofauti ya wana wa Mungu na
Watu wa Mungu
Watu wote ni watu wa Mungu lkn wale wamtafutao na kumwabudu ktk kweli huitwa WANA wa Mungu
Noted.. Nao wataitwa wana wa Mungu...tafsiri yake ni kwamba kuna ambao sio wake...
 
Kumbuka Adam aliletewa wanyama wote walio umbwa na Mwenyenzi Mungu awape majina na wampe kampani. Mungu akaona Adam hakuonekana kuvutiwa na hiyo kampani ya wanyama ndio akaja na wazo la kuumba kiumbe kitakacho mpaka kampani Adam. Soma mwenyewe Biblia yako uone huu ukweli.

Ulicho Jibu sicho ulicho Ulizwa ,rudia tena kusoma Mkuu.
 
Back
Top Bottom