zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Umetoka mkuu huu hapaUmetoka au bado umeshikiwa na Mods
Hannibal Barca: Jenerali bora wa wakati wote kutoka Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoka mkuu huu hapaUmetoka au bado umeshikiwa na Mods
Mkuu,, nmekuelewa sanaMwanzo 1:26-28
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; WAKATAWALE samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba MTU kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, MWANAUME na MWANAMKE ALIWAUMBA.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Biblia inafikirisha sana Aisee ALIWAUMBA inamaana walikuwa ni wawili na si mmoja
Ukisoma vizuri utaona inakwambia BAADA YA KUWAUMBA AKAWAPA JINA ADAMU......
hivyo haikuwa imetanabaishwa jina ni la nani kati yao(tulifichwa makusudi)
ADAMU AKAMZAA SETH(wale wawili wakazaa mtoto aliitwa Seth)
Biblia ina mengi sana ila ukweli ni kuwa Lilith alikuwa mke wa Adamu na wakapata mtoto kabla ya kuja kuwapo Eva
Ukisoma vizuri utaona walikuwapo kabla ya huyo shetani kuja duniani na katika uumbwaji wao Lucifer alikuwa pembeni ya Mungu kabla na baada ya uumbwaji wa Adamu
Ref:NA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU(Mungu hawezi kujiambia mwenyewe neno Tu...hivyo walikuwa wapo wengi katika kikao cha uumbaji huo ila mambo yariharibika baada ya Lucifer kuja na kumpeleka Lilith kuzimu,Mungu nae akampa Adamu mbadala wake kutoka katika nyama zake si Mavumbini kama wale Adamu wa kwanza waliotoka mavumbini)
Biblia haisomwi kama Gazeti jaman
Roho hufa, na mwenye uwezo huo wa kuua roho ni alieiunda tu...kama unaweza kutengeneza roho..haikushindi kuiua...ni maamuzi tu@maishapopote kinachokufa ni mwili uharibikao....hakuna roho ifayo
Biblia imeandikwa na watu waliokuwa wakiongozwa na MUNGU au nguvu za MUNGU. Mfano vitabu vitano vya kwanza vya Biblia viliandikwa na Musa, mtumishi na Nabii wa MUNGU. BWANA MUNGU hasemi uongo na wala kwake hakuna uongo, hivyo hata Manabii wa kweli wa MUNGU hawasemi uongo.Unauhakika upi kama haisemi Uongo au haijaacha kitu kwa sababu bibilia imeandikwa na watu
Hiyo hapo zaburi yako nionyeshe unachokisema na mwanzo hiyo hapo acheni mafundisho yenu ya kishetaniMkuu maishapopote Lilith hakuzaliwa bali alitolewa mavumbini siku moja na Adamu na wote walipewa mamlaka sawa ila baada ya uumbaji ule ndipo mungu akatambua Samael(Lucifer)alikuwa na nia ovu na kinyongo kwa Elohim ambae ndie alieumba Mbingu na nchi na kisha akamshauri mungu waumbe wanadamu kwa mifano yao (mw.1:28,Zab.8)
Kuumbwa pamoja soma (Mwa.1:27na waebrania 2:6-8)hapo utaona mke wa kwanza wa Adamu
Kisha soma (mwa.2:22)inatanabaisha Hawa kama mke wa pili wa Adamu
Somo hili ni refu jamani na ili uelewe inabidi usiwe mfia dini pekee ila uwe mfia dini wa kumjua mungu
Emu rudisha ile avatar yako ya mwanzo
Niko tayari kutoka nje kama utanishawishi kwa hoja...na angalau evidence kidogo maana mambo ya imani ya limited evidence mi nataka kukuuliza ulishawahi kusoma the book of enoch? Kama hujasoma nikutumie kitakusaidia sana hicho kitabu hakijawekwa kwenye biblia ila kinatumika na wakristu jitahidi ukisome utaelewa haya mambo unayoyasema kwa undani sanaUmejifungia kwenye box la kiimani na huko tayari kutoka nje
Mkuu nmekuita na huku unitoe tongotongoHaaahaaaa duh mkuu hii mpya kwakweli embu tudadavulie kidogo
Wakuu NaughtyGuy Malcom Lumumba mpite huku muone mimba za kiume 😀😀😀
Kiweke tu hapa usijali...between sihitaji kukushawishi bali tunajadiliana kwa hoja tuuNiko tayari kutoka nje kama utanishawishi kwa hoja...na angalau evidence kidogo maana mambo ya imani ya limited evidence mi nataka kukuuliza ulishawahi kusoma the book of enoch? Kama hujasoma nikutumie kitakusaidia sana hicho kitabu hakijawekwa kwenye biblia ila kinatumika na wakristu jitahidi ukisome utaelewa haya mambo unayoyasema kwa undani sana
Enoch ni babu yake na nuhu, aliishi miaka 300 na akapaa mbinguni, alikuwepo kipindi wale malaika wanashuka kuja kutoka mbinguni na kulala na binti za binadamu...kumbuka adamu alikua babu yake enoch kwa vizazi vichache mno na Enoch ameandika kwa undani mambo hayo mnayoyazungumzia bila uhakika...kipo kisome naamini na ww utatoka nje ya box la iman yako unayoiamini
Naona umekimbilia kujibu bila kuisoma walau kwa umakini na sidhani kama unajua ulichokiweka hapo kakaHiyo hapo zaburi yako nionyeshe unachokisema na mwanzo hiyo hapo acheni mafundisho yenu ya kishetaniView attachment 805765View attachment 805767
Ila huyu Lilith mnamsingizia, kuna ile aliambiwa na Adam alale chini Adam ampandie juu afanye mambo yeye akagoma akataka yeye ndiyo awe juu. Lakini yote tisa Lilith siyo Lucifer kwasababu Lucifer hajawahi kuwa mwanadamu.Haaahaaaa duh mkuu hii mpya kwakweli embu tudadavulie kidogo
Wakuu NaughtyGuy Malcom Lumumba mpite huku muone mimba za kiume 😀😀😀
Na hii ndio shida ya JF watu kama nyie ndio mnaharibu credibility yetu..... Mtu kaweka hoja anayoifaham wwe unaita mafundisho ya kishetani.... Mshana keshasema wazi lilith anatajwa kwenye biblia ila story yake nzima haipo kwenye biblia na kwa kukusaidia story nzima ipo Kwenye song of sage au talmud zingine za kiyahudi na tablet za sumeria so ukasome ila kinanishangaza kilipopatikana kitabu cha zaburi,mithali na song of sage ni sehemu moja ila zaburi na mithali vimechukuliwa na song of sage kimeachwa kuwekwa kwenye biblia ukielewa kwanni walikiacha walipoamua vitabu vya biblia ndio utaacha kuchangia mada kwa kukariri na kuona wenzako mashetani maana utagundua kuna mashetani wakubwa zaidi wameamua kutuficha vitu muhimu ila leo hii tunawatukuza kama miungu watu!!!Acheni uwongo na hekaya zenu...mafundisho yenu ya uwongo hayawezi kupenya zama hizi...
Duh mkuu hii mbona mpya tena 😀😀.... hatari sana hiiIla huyu Lilith mnamsingizia, kuna ile aliambiwa na Adam alale chini Adam ampandie juu afanye mambo yeye akagoma akataka yeye ndiyo awe juu. Lakini yote tisa Lilith siyo Lucifer kwasababu Lucifer hajawahi kuwa mwanadamu.
Naomba nikuulize kituAcheni uwongo na hekaya zenu...mafundisho yenu ya uwongo hayawezi kupenya zama hizi...
Na wewe unijibu ni nani mke wa Abel?Naomba nikuulize kitu
Ni nani mke wa Kaini?!