Mwana va Mutwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 460
- 54
mwalimu aneiba chaki za shule kwenda kufundishia tiusheni,
mwanafunzi anaetumia mbinu zisizo halali kufaulu mtihani,
dereva wa daladala anaekatisha njia,
mfanyakazi aliyeacha kazi yake nakuja humu jf kujibu ktk muda wa kazi
nk, hawa si mafisadi?
wananchi wanakubali kuburuzwa na Serikali na vitisho kama vya Dawasco au Tanesco.
Ni kweli WTZ - we are suffering alot - LAKINI MCHUKULIE MTANZANIA WA KAWAIDA, AWE AMEAJIRIWA, AMEJIAJIRI, MMACHINGA, AU HANA AJIRA ETC. Katika KERO zote zinazosababishwa na Serikali yetu - ikiwa WAJIBU WETU NI KULIPA KODI, KULIPIA BILLS - UMEME, MAJI ETC. - na SERIKALI HAIWAJIBIKI KWETU - TUFANYEJE?? TUKIJARIBU KUEXPRESS MAWAZO YETU - HATA KWA MAANDAMANO YA AMANI - FFU N VIRUNGU, GAS ZA MACHOZI, FARASI, MBWA WAKO NJIANI KUTUZUIA - IKIWA NA MAANA HATUTAKIWI KUSEMA CHOCHOTE ......... tufanyeje?????? hata tungeandika MAGAZETINI - mwishoni yanasomwa siku hiyo na KESHO YAKE zinatoka article nyingine - MAONI YAMESAHAULIWA ....... TUISHITAKI SERIKALI??? REV. MTIKILA AMESHAJARIBU MARA KADHAA ................... ANABAKIA KUCHEKWA - PLEASE REV. KISHOKA - IF YOU HAVE AN IDEA WHAT WE ARE SUPPOSED TO DO OR ACT - SHOW THE WAY .................... ni kweli WATZ sisi wenyewe (baadhi) tunatupa uchafu, lakini hata ule unaokusanywa basi - JIJI (SERIKALI YETU) INAFANYA NINI?? KODI WANAZOTUTOZA SIKU ZOTE ZINAFANYA KAZI GANI? MAJI TUNALIPIA BILL - MGAO UPO PALE PALE - KODI TUNALIPA BARABARA FINYU PALE PALE - NDIO MAANA WATZ wamechoka tena tumechoka sana - out of frustrations, sheria zinavunjwa - KODI KODI KODI - KILA MAHALI - UNGENUNUA KITU KUNA VAT, UKIEGESHA GARI UNALIPIA, UKIENDA HOSPITAL UNALIPIA, UMEME UNALIPIA, MAJI YASIYOPATIKANA UNALIPIA .... JAMANI KAMA KUNA JINSI YA KUJIKWAMUA - COME UP WITH A WAY - NADHANI WATZ WENGI WANAHITAJI KUONYESHWA NJIA - KWANI TUMECHOKAAAAAAAAAAAAA - HATA TUKIIBWAGA CCM, WHO CAN TELL OR BELIEVE THAT CUF, CHADEMA OR WHATEVER ITALETA MABADILIKO JAMANI????? KAMA NI KUOMBA... TUMEOMBA SANA .... ILA WE STILL HAVE HOPES THAT ONE DAY GOD WILL SHOW US THE WAY THROUGH SOMEONE WITH A HEART OF GOD.
Heshima mbele,
Lakini mabadiliko ya ukweli huanzia ndani kwetu,rohoni mwetu,nadhani tukidadicate muda na akili,na kila mtu aplay part yake katika kuleta mabadiliko ya ukweli,whether ni kwa kugombea uongozi,kuchagua kiongozi aliye bora,ku-act against immorals-be ufisadi,rushwa etc,na pia kusali na kufunga lazima tutafanikiwa
1. Kwanza, Watanzania wengi sana ni Mafisadi kwa namna yao.
2. Pili, Watanzania wengi sana wameridhika na dhiki, kero, shida na umasikini na wanaita ni hali halisi!
3. Tatu, Watanzania wengi wamenogewa na kutegemea misaada na kupewa.
4. Nne, Rushwa na Takrima si uhalifu tena, bali ni haki na halali ili mtu apate haki yake au atimiliziwwe mahitaji.
5. Tano, Sheria, Kanuni na Taratibu zipo, tena nyingi sana, lakini kila mtu anajifanyia analotaka bila kujali matokeo ya yeye kukiuka Sheria au kanuni na wale walio na majukumu na wajibu wa kuhakikisha kuwa Sheria zinafuatwa na zinafanya kazi inavyopaswa, hawafanyi kazi zao na wanafumbia macho kwa makusudi ukiukwaji na kuvunjwa kwa sheria.
6. Sita, hakuna Uongozi na Viongozi. Kila mtu na lwake na Serikali iko Likizo.
nashindwa lakusema sababu mmeongea meengi ambayo nilitaka kuyasema mimi nikuongezea tuu kwa sasa!
Yaani tena mtu mzima anasimama na speach zake kusema nilienda malekani nimeahidiwa kupewa net za mbu, elfu hamsini nimepiga mahesabu ya gharama zake ni kama sh milion mia tano, hebu fikilia msafala ya mkuu huyo na timu yake halafu upewe net ya milion 500, mhh inaitaji uingie chuo kuona hiloo kuwa ni hasara kwa nchi, jamani hii nchi inaenda wapi??
Halafu unakaa kutuambia barabara zoote zitajengwa kwa msaada inamaana wewe hujiwezi kabisaa.
Kwa nini tusiwenamipango yetu tena kwa bajeti ya kutokutegemea saaana. Hii hali ya kuombaomba mpaka lini tanzania. Hakuna mtu ambaye anaweza kuonea huruma nchi yetu. Halafu upinzani hamjajiandaa vyema kuchukua nchi hii.
Mchungaji nashukuru kwa kunisemea ila nasikitika kwakunitonosha kidonda changu cha mda mrefu saana.
mkumbuke ya kwamba,
tukitaka mabadiliko twendeni tukapige kura na kufanya mabadiliko kuanzia kwenye serikali za mitaa(chaguzi ndogo ndogo).kinyume na hilo,tunapoteza muda kujadili mambo bila utekelezaji.
Ni vizuri tujadili mkuu maana "tutachagua wale waleee" kuwa CUF au Chadema haina maana kwamba hawana vitabia vinavyoongelewa hapa..wote hasa wasomi wanatabia hii sana hapa bongo..wajadiliwe sana...mkumbuke ya kwamba,
tukitaka mabadiliko twendeni tukapige kura na kufanya mabadiliko kuanzia kwenye serikali za mitaa(chaguzi ndogo ndogo).kinyume na hilo,tunapoteza muda kujadili mambo bila utekelezaji.
wananchi wanakubali kuburuzwa na Serikali na vitisho kama vya Dawasco au Tanesco.
TUKIJARIBU KUEXPRESS MAWAZO YETU - HATA KWA MAANDAMANO YA AMANI - FFU N VIRUNGU, GAS ZA MACHOZI, FARASI, MBWA WAKO NJIANI KUTUZUIA - IKIWA NA MAANA HATUTAKIWI KUSEMA CHOCHOTE ......... tufanyeje??????
PLEASE REV. KISHOKA - IF YOU HAVE AN IDEA WHAT WE ARE SUPPOSED TO DO OR ACT - SHOW THE WAY .................... .
mwalimu aneiba chaki za shule kwenda kufundishia tiusheni,
nesi anaeiba sindano kuzitumia nyumbani kwake kutibu wagonjwa nyumbani kwa malipo,
secretary[katibu muhtasi]anaeiba stationery za ofisi akazitumia kwa matumizi binafsi,
bosi anaeondoka ofisini muda wa kazi na kufanya shughuli zake binafsi,
dereva anaetumia gari la ofisi kwa matumizi yake binafsi,
mwanafunzi anaetumia mbinu zisizo halali kufaulu mtihani,
dereva wa daladala anaekatisha njia,
mfanyakazi aliyeacha kazi yake nakuja humu jf kujibu ktk muda wa kazi
nk, hawa si mafisadi?
Nasema ufisadi utaisha iwapo mojawapo ya yafuatayo yatatokea;
- :Watu wote wakubali tatizo, na kuanzisha program za kurekebisha hili tatizo kind of braiwashing saikolojia za kibongo bongo na za kupenda vya haraka haraka au kuomba omba au wenyewe wanasema tumia BONGO.
- :Itokee dhoruba (Mungu epusha) kizazi hiki chote kipotee. Halafu wabaki watoto tu, na wakuzwe na maadili mapya.
- :Tubadilishe mfumo wa elimu. Utuandae kuwa waadilifu. Tupende kujitegemea, tusiopenda kuiba, tunaopenda wenzetu na kujaliana.
- Tuanzoshe NGO ya kusimamia maadili ya watu, hasa watoto walioko mashuleni hadi vyuo. Baadae jukumu hili liwe la serikali.
Sisi ndio tulivyo, bisha usibishe... ufisadi kila mTanzania anao kwa namna yake
mwalimu aneiba chaki za shule kwenda kufundishia tiusheni,
nesi anaeiba sindano kuzitumia nyumbani kwake kutibu wagonjwa nyumbani kwa malipo,
secretary[katibu muhtasi]anaeiba stationery za ofisi akazitumia kwa matumizi binafsi,
bosi anaeondoka ofisini muda wa kazi na kufanya shughuli zake binafsi,
dereva anaetumia gari la ofisi kwa matumizi yake binafsi,
mwanafunzi anaetumia mbinu zisizo halali kufaulu mtihani,
dereva wa daladala anaekatisha njia,
mfanyakazi aliyeacha kazi yake nakuja humu jf kujibu ktk muda wa kazi
nk, hawa si mafisadi?
nimeongea na mama yangu nikamuuliza umejiandikisha kupiga kura, jibu alilonipa lilinisikitisha sanaMhubiri,
Nafasi ya kwanza ya wewe na jirani zako kuleta mabadiliko ni Jumapili hii.Wataarifu ndugu na jamaa zako waliochoka mazoea na kudhihakiwa wapige kura kuwaondoa madiwani waliokuwa wakiongoza kata zenu kwa miaka mitano iliyopita.
Chagua mtu mwingine bila hofu eti kama yeye ni CUF au CHADEMA atawezaje.
Mtakapotumia nafasi hii kuwaondoa kina Kimbisa, basi mtaanza kusikilizwa taratibu na ikifika mwakani, pigieni kura mwakilishi wa Jimbo kutoka Chama kingine na si chama kile kile kilichowakilisha jimbo lenu miak mitano iliyopita!
Msisite kuandamana na msiogope FFU. Fanyeni maandamano kwa amani, fanyeni migomo kwa amani, ilazimisheni Serikali itutumikie na itunyenyekee maana Serikali ni mali yetu si ya mtu mmoja au chama kimoja!
Ni kweli huu wote ni ufisadi,lakini ni lazima tujiulize chanzo chake hasa ni nini? Mimi naweza kusema huu ni ufisadi Dagaa,Lakini chanzo cha huu ni ufisadi Nyangumi.Ukitaka kutatatua tatizo lazima ukate mzizi.Hawa mafisadi wadogo mara nyingi wamelazimika kufanya hivo kwa kuwa viongozi wakuu wa nchi wamewa-let down.Kwa mfano Ufisadi uliofanyika IPTL ,leo hii unaathiri zaidi waTZ walalahoi ambao hawana kitu na ili kupunguza ukali wa maisha mtu anaamua liwalo na liwe .Na kusema ukweli watu wamekata tamaa ya maisha kwa kuwa wanaona wale wa juu hawana msaada zaidi ya kuwaumiza.
Kama tukiweza kuun'goa huu ufisadi mkubwa kwa viongozi ,huduma nyingi kwa mwananchi wa kawaida zitaboreka,na hatimaye hivi viufisadi vingine vitatokomea.Wito kwa mliopewa dhaman kubwa ya wananchi wa Tanzania ,chonde chonde, haki huinua taifa.Oneni kaaibu basi hata kidogo muache kujifikiria wenyewe.
Binti Sayuni,
Dagaa hulisha Nyangumi mpaka Nyangumi akanenepa.
Dagaa hulisha Papa, mpaka Papa akanenepa.
Hivyo Papa na Nyangumi wakimeza wale dagaa waliobobea ufisadi wa namna yao, then ile metabolisim na chemical composition itokanayo na Lishe ya Dagaa itanufaisha Papa na Nyangumi ambao nao hamu ya Ufisadi itaongezeka!
nimeongea na mama yangu nikamuuliza umejiandikisha kupiga kura, jibu alilonipa lilinisikitisha sana
alinijibu, hajajiandikisha maana yake haoni tofauti yeyote ile na rafiki zake mmoja wanafanya nae ofisi moja na mwingine anafanya ofisi ya jirani wanakanijibu vivyo hivyo...
nikawaambia nyinyi kila siku kulalamika je mnategemea haya mabadiliko yatoke mbinguni? nendeni mkajiandikishe mmpigie upinzani mkiwa mnawabadilisha ndio watafanya kazi.
kitu nilichogundua asilimia kubwa ya wafanya kazi TZ hawajishuhulishi na kupiga kura hata kidogo