ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kitabu kinajiita ufunuo halafu ukikisoma hukielewi,.
Sasa pale yohana alitaka kufunua au kuficha Zaidi? Naona Kama ndo kaficha Zaidi.
Knowledge haitakiwi Kuwa hivyo, inatakiwa iwe wazi ili sisi wasomaji tupate uelewa na nafasi ya kuboresha au kupinga au kukubali kilichoandikwa.
Nadhani ndo maana ilichukua muda Sana na debate kubwa kukubali kukiweka Kuwa miongoni mwa collection ya vitabu katika Bible.