ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwanini mkuuAliyeandika huu uzi ni mtu wa ovyo kuliko watu wa ovyo wote waliopo jf.
Huwezi kuita maandiko matakatifu andiko la ovyo.Kwanini mkuu
Sio kweliAliyeandika huu uzi ni mtu wa ovyo kuliko watu wa ovyo wote waliopo jf.
Acha uwoga kijana yale Ni maneno tu yalioandikwa na watu Kama wewe.Huwezi kuita maandiko matakatifu andiko la ovyo.
Kuwa na adabu.
Unamaanisha nitakufa Leo?Kesho hutoliona jua
Niamini
Samahani sana naomba unifafanulieHahaha
ndege JOHN wewe ni kibogoyo.
Umemujibu vizuri akitaka kuelewa ataelewaAcha uwoga kijana yale Ni maneno tu yalioandikwa na watu Kama wewe.
Unajua zamani hapakuwa na waandishi so wale wachache wakiandika kitu kinakuwa Cha ajabu lakini kiukweli mengi hayana maana tena hayana nafasi tena kwenye ulimwegu huu...
knowledge Haina mwisho Haina limit .Mambo mazuri hayana mwisho...so Mambo matakatifu sio maandiko peke yake
Kuna Mambo mengine ya MUNGU mapya ambayo Ni matakatifu...sijasema nawadharau nawaheshimu sana walioandika walifanya vizuri Sana Ila kwa nafasi yao.
Waliyoyaandika Ni Kama mshumaa tu ambao zamani ulikuwa na thamani Ila kwa Sasa tuna umeme so mshumaa hauna thamani Tena tunahitaji update ya Mambo ya Mungu
Samahani sana naomba unifafanulie
Hasipotaka kuelewa ?Umemujibu vizuri akitaka kuelewa ataelewa
AtakaaHasipotaka kuelewa ?
Ila kwa kweli ni sheedaa! Ufunuo huo umeandikwa kwa lugha fasaha, lakini kuelewa hadi utafute mkalimani, angalau kupata mwanga wa maudhui.
Vichwa ambavyo vinashindwa kuyaelewa matamko ya Profesa Kabudi ambaye bado yupo hai.Ila kwa kweli ni sheedaa! Ufunuo huo umeandikwa kwa lugha fasaha, lakini kuelewa hadi utafute mkalimani, angalau kupata mwanga wa maudhui.
Nope!Tafuta msabato akufafanulie, utakifurahia na kuongoka