Km umevuka Centimeters 213 wewe ni mrefu chini ya hapo wewe ni mfupi, mimi nipo above 213 Centimeters kwa hio mimi ni mrefuMwisho ningependa kujua kama kuna vipimo vya makadirio ili mwanaume ajue kuwa yupo kundi la wafupi au warefu je kipimo kinapaswa kuwa ngapi?
Wewe ukisimama na mimi mfano ndio nimekua mumeo unahisi utakua mrefu au mfupi?Si mlishaambiwa urefu ama ufupi ni majaliwa
Lakini nionavyo mwanaume ni mrefu kutegemea na ufupi wa mkewe
Tafuta anayepua tuTukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu.
Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi lakini utakuta bado wanawazidi wanawake wengi kwa urefu lakini chaajabu wanawake hao bado huwaita wafupi na kuwakejeli.
Na je ili ukubali mtu ni mrefu ni kwamba hadi awazidi wanaume wengine au akikuzidi wewe tu tayari ni mrefu?
Mwisho ningependa kujua kama kuna vipimo vya makadirio ili mwanaume ajue kuwa yupo kundi la wafupi au warefu je kipimo kinapaswa kuwa ngapi?
Dah 🤣🤣Wewe ukisimama na mimi mfano ndio nimekua mumeo unahisi utakua mrefu au mfupi?
Kuna sehemu hua napitaga kwa kuinama sasa kuna muda hua najisahau napita hivyo hivyo hua najigonga vibaya sanaDah 🤣🤣
Sijui kwakweli
Nahisi utakuwa mfupi
Cm 67 ni urefu wa rula mbili za mwanafunzi anazochorea kwenye daftariMimi Nina sentimita 67
Tukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu.
Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi lakini utakuta bado wanawazidi wanawake wengi kwa urefu lakini chaajabu wanawake hao bado huwaita wafupi na kuwakejeli.
Na je ili ukubali mtu ni mrefu ni kwamba hadi awazidi wanaume wengine au akikuzidi wewe tu tayari ni mrefu?
Mwisho ningependa kujua kama kuna vipimo vya makadirio ili mwanaume ajue kuwa yupo kundi la wafupi au warefu je kipimo kinapaswa kuwa ngapi?
We Kwa Hashim thabit ni mfupiKuna sehemu hua napitaga kwa kuinama sasa kuna muda hua najisahau napita hivyo hivyo hua najigonga vibaya sana
Ndio urefu wangu Sasa.Cm 67 ni urefu wa rula mbili za mwanafunzi anazochorea kwenye daftari
Rula Ina urfu wa cm 30
Mbona mnaanitisha humu?
Ndio ni mfupi hata kwa yule mrefu anaemzidi thabit urefu mimi mfupi pia hio sijakataa sijapinga ila wewe kwangu mimi ni andunje unanifikia magotiniWe Kwa Hashim thabit ni mfupi
Hebu tukuone!🤔Km umevuka Centimeters 213 wewe ni mrefu chini ya hapo wewe ni mfupi, mimi nipo above 213 Centimeters kwa hio mimi ni mrefu
Hio ni Futi 7 kasoro yaan Futi 6.99 wengine wanaiita Futi 6 na inch kadhaa kimo cha Kaburi lako