ufupi wa wachezaji wetu unachekesha halafu wa congo wanyamwezi sana aiseeey

ufupi wa wachezaji wetu unachekesha halafu wa congo wanyamwezi sana aiseeey

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Nilimsikia kocha wa twiga stars akilalamikia maumbo makubwa ya wadada wa congonikajisemea mweeeh,wachezaji wazuri nchi hii wanatokea kigoma na morogoro unatarajia nini?labda wasukuma na wanyakyusa mkatafute huko wachezaji mtakutana na mapande ya mtu
jana tena nikawa nikawecheki wale jama na wa team yangu simba ,daaah sijui ni jezi zao au? naona walikuwa wako kinyamwezi sana kwa kweli
congo demu.PNG
mazembe.PNG
 
Kocha wa Simba hana mbinu...mechi zote walizoshinda hapa Taifa kwa mbinu nje ya uwanja...kule Congo namba sita acheze Nyoni ataleta utulivu kati..Wawa na Juuko waanze nyuma...Bocco au Kagere mmoja aanze nje..Okwi na yule dogo mwenye mbio wakimbie pembeni..Mzamiru na Kotei wamsaidie Nyoni..wote wacheze nyuma ya mpira Zahera Style mnaweza kufuzu ...
 
Ongezea Bocco aanze lakini apigwe mkwara kabla ya mechi. Jana kaiumiza sana timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom