nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Nilimsikia kocha wa twiga stars akilalamikia maumbo makubwa ya wadada wa congonikajisemea mweeeh,wachezaji wazuri nchi hii wanatokea kigoma na morogoro unatarajia nini?labda wasukuma na wanyakyusa mkatafute huko wachezaji mtakutana na mapande ya mtu
jana tena nikawa nikawecheki wale jama na wa team yangu simba ,daaah sijui ni jezi zao au? naona walikuwa wako kinyamwezi sana kwa kweli
jana tena nikawa nikawecheki wale jama na wa team yangu simba ,daaah sijui ni jezi zao au? naona walikuwa wako kinyamwezi sana kwa kweli