nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
nimeongelea generally,nchii hii wachezaji wengi ni moro na kigoma
Nitajie wachezaji watatu team ya taifa wanaotoka kigomanimeongelea generally,nchii hii wachezaji wengi ni moro na kigoma
Ongezea Bocco aanze lakini apigwe mkwara kabla ya mechi. Jana kaiumiza sana timu.Kocha wa Simba hana mbinu...mechi zote walizoshinda hapa Taifa kwa mbinu nje ya uwanja...kule Congo namba sita acheze Nyoni ataleta utulivu kati..Wawa na Juuko waanze nyuma...Bocco au Kagere mmoja aanze nje..Okwi na yule dogo mwenye mbio wakimbie pembeni..Mzamiru na Kotei wamsaidie Nyoni..wote wacheze nyuma ya mpira Zahera Style mnaweza kufuzu ...