Zao la ufuta bwana lina mambo mengi kwa wanavyodai wenyewe siwezi kuthibitisha lakiniKwanini inatokea ivo.
Nini huwa changamoto
Maana nami najipanga mvua za mwezi wa Pili wa 3 niingie mzigoni.na ekari zangu za kutosha tu
Hahaha Uwii nimecheka mpaka mkojoHilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Vip una idea na mkoa wa Mbeya kujihusisha na hili zao?
Haaahahaha pole.. Lima mpungaMie pia ni mhanga na ufuta...ufu6ta hauna adab ht kdg...upepo ukija jua hasara...yaan limeni tu kwakweli...mie nilipata kilo 7..tena hapo majiran wenyej wakasema nimepata...ptu.!
Hakuna..ni kukusanya tu mazao kama unataka kutopoteza sana helaHaaahahaha pole.. Lima mpunga
Kuna hii program iko financed na FAO hapo moro..wanaiita kilimo shadidi cha mpunga, im thinking to enroll aisee..nipate mafunzo...iko njema kwa utafiti kdg niliofanyaHakuna..ni kukusanya tu mazao kama unataka kutopoteza sana hela
Kuna hii program iko financed na FAO hapo moro..wanaiita kilimo shadidi cha mpunga, im thinking to enroll aisee..nipate mafunzo...iko njema kwa utafiti kdg niliofanya
Hahaha Uwii nimecheka mpaka mkojo
Thank you..hebu kaswal kamtego..hv kuna kitu najua ww hujui kweli ?Mcheki kwanza laswayjr...hicho kilimo shadidi anakielewa sana .and they make money!
Eti nini..? Labda wenye mashamba jamii forum. Ufuta ukikurupuka utajutia sana.Watu wanalima na wanapata kila mwaka, hakuna mkulima aliachwa na hasara kwenye ufuta
Iv kwanini wasiwe wanaweka maturubai ukikaribia kukomaa ili hta ukianguka uwe unaangukia kwenye turubai?Ukianza kukomaa tu kaupepo kakapita kakali andika maumivu!na ndege pia!ni kweli asemayo unaweza pata 2kgs!
Iv kwanini wasiwe wanaweka maturubai ukikaribia kukomaa ili hta ukianguka uwe unaangukia kwenye turubai?
Hahah wa mjini watajulia wapi hayo,anadhani sijui hapo ni kwny harusi/kipaimara unaweka tu ma-turubai.Haiwezekan mkuu...hebu fikiria ufuta unawekaje turubai chin
Hahah wa mjini watajulia wapi hayo,anadhani sijui hapo ni kwny harusi/kipaimara unaweka tu ma-turubai.
Km ukiilima kwa kufuata mstari uwezekano wa kutandika turubai upo....by the way hilo ni wazo langu linaweza kuwa sahihi au sio sahihi.Haiwezekan mkuu...hebu fikiria ufuta unawekaje turubai chin