financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
ππππ ila kweli mtu anakula mafuta ya taa unategemea nini, usiombe mpishi azidishe kuweka yaani kabla hata hujaanza kula unaskia kushiba, mafuta yanavyonukaπUshuzi wake ulikua ni balaa!!!Domitory yalikua ni mabomu kwenda mbele!Kuna mwana alikua akichana msamba lazima mfungue milango na madirisha!
Sima ndi njugaUgali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Ndo maana ni kizazi cha miaka ya 1990s. 2009 nipo kazini kitambo sana nikiwa nmemaliza masters udsm ya miaka hiyo when education was education.Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Chui
Sasa nyie wa 1990's mmeleta mchango gani kwenye taifa?Ndo maana ni kizazi cha miaka ya 1990s. 2009 nipo kazini kitambo sana nikiwa nmemaliza masters udsm ya miaka hiyo when education was education.
Nyie madogo huwa sometimes mnajichetua tu na kuleta usela choo kwa watu ambao basically ni baba zenu kabisa.
Siku utamwona mtu anatokea room anayolala mama yako ukaitwa kutambulishwa kumbe ndo komeo la chuma mwenyewe ambaye when you here unajaribu kujitanua mbavu maana hata kifua huna.
Nyie madogo hata uelewa wenu mbovu sana.nani kasema ni wa 1990s soma vizuri. Mbona nimeandika kiswahili chepesi tu cha kueleweka?Sasa nyie wa 1990's mmeleta mchango gani kwenye taifa?
Halafu nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu kwaajili ya vizazi vijavyo ila cha kushangaza mnabaki kuwalaumu younger generation ya kuwa hawapo serious na eti elimu imeshuka thamani sasa si mngeiongezea thamani kama kweli elimu yenu iliwasaidia.
Soma uelewe bwana mdogo. Hapa imeonesha Elimu ya sasa ni hovyo sana.maana hata comprehension imekuwa changamoto.Sasa nyie wa 1990's mmeleta mchango gani kwenye taifa?
Halafu nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu kwaajili ya vizazi vijavyo ila cha kushangaza mnabaki kuwalaumu younger generation ya kuwa hawapo serious na eti elimu imeshuka thamani sasa si mngeiongezea thamani kama kweli elimu yenu iliwasaidia.
1990,Zege na Maharage _MandondoUgali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Zege na mbwandaUgali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Tulikuwa tunakula bila stress na kuwashangaa wanaodobuble msosi!Dongo na mashuzi!Cha kushangaza tulikua tukirudi home wazazi wanasema tumenenepa!!!
Sawa uelewa wangu mdogo ila turudi kwenye hoja. Nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu ila cha kushangaza mnachojua ni kulalama tu na kukejeli kizazi cha sasa.Soma uelewe bwana mdogo. Hapa imeonesha Elimu ya sasa ni hovyo sana.maana hata comprehension imekuwa changamoto.
Hatukejeri. Wanasiasa wameharibu Elimu. Sisi wenye akili hawataki ushauri wetu.wao watoto wao wanawapeleka kusoma nje.nyie ndo wanawapa Elimu mbovu msishindane na watoto waoSawa uelewa wangu mdogo ila turudi kwenye hoja. Nyie ndo mlitakiwa mboreshe elimu ila cha kushangaza mnachojua ni kulalama tu na kukejeli kizazi cha sasa.
Shida nyie wenye akili ni waoga? Na pia mnakejeli younger generation mna zile kauli za "sisi enzi zetu" sio mtaani tu hata hapa JF zipo.Hatukejeri. Wanasiasa wameharibu Elimu. Sisi wenye akili hawataki ushauri wetu.wao watoto wao wanawapeleka kusoma nje.nyie ndo wanawapa Elimu mbovu msishindane na watoto wao
Heshima kwako Mzee wanguNdo maana ni kizazi cha miaka ya 1990s. 2009 nipo kazini kitambo sana nikiwa nmemaliza masters udsm ya miaka hiyo when education was education.
Nyie madogo huwa sometimes mnajichetua tu na kuleta usela choo kwa watu ambao basically ni baba zenu kabisa.
Siku utamwona mtu anatokea room anayolala mama yako ukaitwa kutambulishwa kumbe ndo komeo la chuma mwenyewe ambaye when you here unajaribu kujitanua mbavu maana hata kifua huna.
ππππHata sikumbuki vizr, Ila nakumbuka uji walikuwa wanaita 'pora' kuna Mwamba alikuwa anakunywa uji kisado kizima na maandazi ya Amina mtoto WA mzee kinara
Wazee wa penda watoto wanakumbuka