Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unaishaga fasta, yaani pipo zinashambuliaSafi Sana, msosi wa hivyo Ni mtamu ajabu, mara nyingi nikiwaga na vijana wa kazi huwa najumuika nao, basi wanafurahi wenyewe
😂😂😂Zinashambulia sababu ya kazi ngumu wanazofanyaHalafu unaishaga fasta, yaani pipo zinashambulia
Camp ya kishua hii mpaka kuku inapikwaCamp moshi vijijini watoto wa mama hawaelewagi hizi mamboView attachment 2024609
De properaCamp ya kishua hii mpaka kuku inapikwa
Huko machimboni nyanda za kusini ni noma, yani nguna na maharage vinaipuliwa kwa pamoja
Halafu mboga ikiwa hivyo hivyo ya moto inatiwa pilipili kichaa za kutosha halafu maji ya kunywa yanawekwa hatua 50 kutoka eneo mnalolia msosi.
Siku ya kwanza nilipokula nilishindwa kuendana na kasi ya masela kulingana na msosi ulivyokuwa wa moto, jamaa mmoja akaniambia kabla ya kula huu ugali ulitakiwa ukafanye mazoezi ya kushika moto kwanza
Umenikumbusha machimboni, aisee ni nomaa sana
Kuna siku kambini yalitengwa maharage upande wa pili likasongwa nguna, mpishi mikwara mingi afu kavua shati.
Mara tukaskia oya wanangu ebu chekini hii kitu, kucheki tukaona jamaa kaibua chura kutoka kwenye maharage akiwa amevimba baada ya kuchemkia kwa muda mrefu
Jamaa akasema sasa huyu tunamuweka hapa, akamuweka pembeni afu wazee wakashuka kuufinya kama kawa
Urikuwa ritoto ramama muraa!Camp ya kishua hii mpaka kuku inapikwa
Huko machimboni nyanda za kusini ni noma, yani nguna na maharage vinaipuliwa kwa pamoja
Halafu mboga ikiwa hivyo hivyo ya moto inatiwa pilipili kichaa za kutosha halafu maji ya kunywa yanawekwa hatua 50 kutoka eneo mnalolia msosi.
Siku ya kwanza nilipokula nilishindwa kuendana na kasi ya masela kulingana na msosi ulivyokuwa wa moto, jamaa mmoja akaniambia kabla ya kula huu ugali ulitakiwa ukafanye mazoezi ya kushika moto kwanza
Yasijejitokeza ya Zenji waliokula kasaChura ni nyama tamu, kwanini hamkumla?
Ngoja kwanza, uwaone hawa kwanza walau upate picha ya hao vibopaUrikuwa ritoto ramama muraa!
Kibishi tu hakuna vitiUmenikumbusha mwaka juzi nilikuwa porini huko Langai, Orkesmet. Hapo tumepika kichalii (kaugali kadogo) asubuhi ndio breakfast hiyo kabla watu hawajaingia shambani kucheza kibolingo (kung'oa maharage).
View attachment 2024494View attachment 2024495