luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hivyo vya njano vilivyo kama baloon ni niniWabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...
View attachment 1663038
Hivyo vya njano vilivyo kama baloon ni nini
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ndio milango ya ndege
Nakumbuka zile kelele zao. Chee hadi machweo ilikuwa ni ATCL(Any Time Cancellation Limited) tu, kila siku ya wiki. Wabongo bana.Wabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...
View attachment 1663038
Hivyo vya njano vilivyo kama baloon ni nini
Haha utajua haujui kumbuka flight radar ina snap picha za satellite bazo hubadilika kwa majira tofauti so huenda ikawa by the time ww una screen shot iyo image, anga letu lilikuwa wazi lkn baada ya masaa kadhaa pengine anga lita badilikaWabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...
View attachment 1663038
Haha utajua haujui kumbuka flight radar ina snap picha za satellite bazo hubadilika kwa majira tofauti so huenda ikawa by the time ww una screen shot iyo image, anga letu lilikuwa wazi lkn baada ya masaa kadhaa pengine anga lita badilika
Ila ujumbe wangu kwako pia pu guza chuki maana uzi una zungumzia uganda airline then weye una leta story za anga kuwa halina ndege zirukazo as if haujui ya kuwa dunia ina pamban na janga la covid 19 na airline nyingi zime shut down their services
Hhyo aliye kudanganya mwambie akudanganye tenaMume park mindege na kushindwa hata kuyapigisha ruti za daladala ndani kwa ndani, tatizo mlikurupuka kisa mshindane na Kenya, na kuishia aibu ya kuangukia pua.
Tusiwaombee mabaya. Wenzetu hawajakurupuka, wamejipangaNgoja waje wazipaki kama huku
Hhyo aliye kudanganya mwambie akudanganye tena
Hivi hio corona ipo tz tu au? Kuna kitu tunafeli vibaya sana...Haha utajua haujui kumbuka flight radar ina snap picha za satellite bazo hubadilika kwa majira tofauti so huenda ikawa by the time ww una screen shot iyo image, anga letu lilikuwa wazi lkn baada ya masaa kadhaa pengine anga lita badilika
Ila ujumbe wangu kwako pia pu guza chuki maana uzi una zungumzia uganda airline then weye una leta story za anga kuwa halina ndege zirukazo as if haujui ya kuwa dunia ina pamban na janga la covid 19 na airline nyingi zime shut down their services
Kama unayaona bac huyaoni vyemaNinayaona sio kudanganywa.
Kwan ww uliambiwa mkiwa na shirika la ndege ndio hata makampuni mengine ya ndege wana leta ndege zao ?Hivi hio corona ipo tz tu au? Kuna kitu tunafeli vibaya sana...
Wabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...
View attachment 1663038
Mume park mindege na kushindwa hata kuyapigisha ruti za daladala ndani kwa ndani, tatizo mlikurupuka kisa mshindane na Kenya, na kuishia aibu ya kuangukia pua.
Ume mletea bandiko lkn huwa akubaligi kitu huyu