Uganda airline is ready to compete with other airline

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
The Uganda flag carrier has received her first Air bus A330 Neo manufactured by French Airbus company. The plane was official received by His excellency Yoweri Museveni the President of Uganda on December 22. The airline will compete with other regional airlines like ATCl, KQ, Rwandair and ET

Wabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...

flight radar.jpg
 
Wabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...

View attachment 1663038
Haha utajua haujui kumbuka flight radar ina snap picha za satellite bazo hubadilika kwa majira tofauti so huenda ikawa by the time ww una screen shot iyo image, anga letu lilikuwa wazi lkn baada ya masaa kadhaa pengine anga lita badilika

Ila ujumbe wangu kwako pia pu guza chuki maana uzi una zungumzia uganda airline then weye una leta story za anga kuwa halina ndege zirukazo as if haujui ya kuwa dunia ina pamban na janga la covid 19 na airline nyingi zime shut down their services
 
Mume park mindege na kushindwa hata kuyapigisha ruti za daladala ndani kwa ndani, tatizo mlikurupuka kisa mshindane na Kenya, na kuishia aibu ya kuangukia pua.
 
Hhyo aliye kudanganya mwambie akudanganye tena
 
Haha utajua haujui kumbuka flight radar ina snap picha za satellite bazo hubadilika kwa majira tofauti so huenda ikawa by the time ww una screen shot iyo image, anga letu lilikuwa wazi lkn baada ya masaa kadhaa pengine anga lita badilika

Ila ujumbe wangu kwako pia pu guza chuki maana uzi una zungumzia uganda airline then weye una leta story za anga kuwa halina ndege zirukazo as if haujui ya kuwa dunia ina pamban na janga la covid 19 na airline nyingi zime shut down their services
Hivi hio corona ipo tz tu au? Kuna kitu tunafeli vibaya sana...
 
Wabongo mnatia huruma sana, hivi ndege mlinunua za nini kama hamzitumii, hebu ona flight radar inavyoonyesha palivyo pakavu kwenu huko...

View attachment 1663038

One can rely on this if could show a trend of several (intervals) hours a day, several days in a week.
Again, hiyo inaonesha hata ndege za nje.
 
Back
Top Bottom