Uganda Airlines, wameanza vizuri

Uganda Airlines, wameanza vizuri

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hawa Majirani tuwaangalie kwa jicho makini. Tuweke mipango inayoeleweka tuache kulia lia.

**Tayari wanatua OR Tambo, Dubai, Bujumbura, Juba, Dar, Kilimanjaro na Mogadishu.

images (39).jpeg
 
Usishangae wakatuzid
Ni kweli kwa vile watanzania waliamua kuchukia ndege hizo kutokana na kuwa ilikuwa ni initiave ya Magufuli; wakafanya swala la ndege kuwa kuwa ni la Magufuli personally badala ya kujua kuwa ni ndege zetu wote. Sasa hivi kuna kila jitihada za kuonyesha kuwa ndege hizo ni hasara tupu.
 
Hii nchi wachawi ni hawa hawa viongozi wetu
 
Biashara ya ndege nchi za afrika inakula uchumi badala ya kujenga uchumi
 
Sisi bibi tozo anazurula tu hana hata habari,anasubiri kudanganywa tu yeye anawaamini mawaziri wake kwa 10000000000000000000000% hana hata habari,anayaamini machawa yake ndio maana hata ziara mikoani hafanyi yenyewe yameanza kuruka kwa chopa sasa.Hana muda wa kujua kero za wananchi wakijua akina nape,aweso,mwigulu,makamba na chawa wengine inatosha hata wakimdanganya sawa tu anaona wanapiga kazi haswa,ni aibu kwa kweli
 
Midege si imenunuliwa

Mbona kimya,au hawakuwa nq mkakati mzuri wa biashara

Ova
 
Hawa Majirani tuwaangalie kwa jicho makini. Tuweke mipango inayoeleweka tuache kulia lia.

**Tayari wanatua OR Tambo, Dubai, Bujumbura, Juba, Dar, Kilimanjaro na Mogadishu.

View attachment 2188906
Wanajiamini vipi kutua Mogadishu? Mogadishu ni visingle engine tu cassena ndo vinatua tena kwa kuvizia vizia.
 
ripoti ya CAG inasema shidika linatengeneza hasara zaidi ya bilioni 10....huku kwenye mikutano wananchi tunaaminishwa shirika lafanya vizuri
 
Huyuhuyu CAG alisham -attack JPM kwa ununuzi wa ndege!
Badala ya kufikiria nini kifanyike ndege zifanye kazi wanalaumu uwanja wa Chato!
 
Wanajiamini vipi kutua Mogadishu? Mogadishu ni visingle engine tu cassena ndo vinatua tena kwa kuvizia vizia.
Turkish, Qatar na Ethiopian wanatua Mogadishu
 
Ni kweli kwa vile watanzania waliamua kuchukia ndege hizo kutokana na kuwa ilikuwa ni initiave ya Magufuli; wakafanya swala la ndege kuwa kuwa ni la Magufuli personally badala ya kujua kuwa ni ndege zetu wote. Sasa hivi kuna kila jitihada za kuonyesha kuwa ndege hizo ni hasara tupu.
Inasikitisha sana...navyoiona Tanzania mbele ni kuna giza kubwa .
 
Ndege zilinunuliwa bila kua na business plan-CAG Assad.
Tatizo lipo hapa, ila kwakuwa zipo tayari basi wahusika washirika wajipange, lile moja kubwa limekaa sana pale uwanjani lisije pata kutu....

Ila kwa uhalisia kila nchi kuwa na shirika lake ni ngumu sana kufanikiwa, nadhani EAC wangeangalia uwezekano wa kuwa na shirika moja au mawili (nchi ziwe wanahisa) ili yaweze kuwa na businesa case kibiashara.

Kenya wameingia makubaliano na SA kuunganisha mashirika yao liwe moja.
 
Back
Top Bottom