wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Uko sawa kabisa mkuu,Rwandair wao waliuza hisa zao nadhani Ni 49% kwa Quatar Airways.Tatizo lipo hapa, ila kwakuwa zipo tayari basi wahusika washirika wajipange, lile moja kubwa limekaa sana pale uwanjani lisije pata kutu....
Ila kwa uhalisia kila nchi kuwa na shirika lake ni ngumu sana kufanikiwa, nadhani EAC wangeangalia uwezekano wa kuwa na shirika moja au mawili (nchi ziwe wanahisa) ili yaweze kuwa na businesa case kibiashara.
Kenya wameingia makubaliano na SA kuunganisha mashirika yao liwe moja.