Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Ujerumani wanafanya hii toka karne ya 19
Wakatoliki wanafanya hivyo Germany
Wakatoliki wanafanya hivyo Germany
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kasisi n wa Kenya au Uganda mkuu??Kasisi mmoja wa Kikatoliki huko nchini Kenya ameiomba Serikali ya nchi hiyo ianzishe utaratibu ‘ maalum ‘ wa kuwakata Wakatoliki wote Pesa ya Fungu la Kumi moja kwa moja kutoka katika Mishahara yao kila Mwezi kutokana na kwamba wengi wao wamekuwa ‘ wagumu ‘ na ‘ wakwepaji ‘ wa kutoa haki hiyo muhimu kwa Mwenyezi Mungu.
Je Kasisi huyu wa Uganda yupo sahihi kwa hili au nae ameshaanza ‘ Kuwashwawashwa ‘ na labda anawataka tu ubaya Wakatoliki wa nchini Uganda? Na je vipi hili nalo likiigwa na Makasisi wa Kanisa Katoliki la Tanzania?
Nawasilisha.
Rekebisha kiongozi usimjibu kama kwenye mada nyingine.Ni wa Mbinguni.
Rekebisha kiongozi usimjibu kama kwenye mada nyingine.
Juu umeandika Kenya chini umeandika Uganda.
SawaNi wa Mbinguni.