Kasisi mmoja wa Kikatoliki huko nchini Kenya ameiomba Serikali ya nchi hiyo ianzishe utaratibu ‘ maalum ‘ wa kuwakata Wakatoliki wote Pesa ya Fungu la Kumi moja kwa moja kutoka katika Mishahara yao kila Mwezi kutokana na kwamba wengi wao wamekuwa ‘ wagumu ‘ na ‘ wakwepaji ‘ wa kutoa haki hiyo muhimu kwa Mwenyezi Mungu.
Je Kasisi huyu wa Uganda yupo sahihi kwa hili au nae ameshaanza ‘ Kuwashwawashwa ‘ na labda anawataka tu ubaya Wakatoliki wa nchini Uganda? Na je vipi hili nalo likiigwa na Makasisi wa Kanisa Katoliki la Tanzania?
Nawasilisha.