mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Hayo mabenki yalifanya na Serikali kwa njia mabalimbali, na wakati mwingi mwingine kwa pesa ya Serikali, na kulipwa maradufu, ikiwakopesha wateja kwa riba kubwa. Ngoja yafilisikeTuyaache ya Uganda tujadili Haya kwanza
Hali ya mabenki ni mbaya, kodi yashuka kwa mabilioni. Je, Serikali inatoa wapi pesa kama sekta ya fedha inayumba?