mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,227 Reaction score 6,670 May 1, 2018 #21 mwaswast said: Tuyaache ya Uganda tujadili Haya kwanza Hali ya mabenki ni mbaya, kodi yashuka kwa mabilioni. Je, Serikali inatoa wapi pesa kama sekta ya fedha inayumba? Click to expand... Hayo mabenki yalifanya na Serikali kwa njia mabalimbali, na wakati mwingi mwingine kwa pesa ya Serikali, na kulipwa maradufu, ikiwakopesha wateja kwa riba kubwa. Ngoja yafilisike
mwaswast said: Tuyaache ya Uganda tujadili Haya kwanza Hali ya mabenki ni mbaya, kodi yashuka kwa mabilioni. Je, Serikali inatoa wapi pesa kama sekta ya fedha inayumba? Click to expand... Hayo mabenki yalifanya na Serikali kwa njia mabalimbali, na wakati mwingi mwingine kwa pesa ya Serikali, na kulipwa maradufu, ikiwakopesha wateja kwa riba kubwa. Ngoja yafilisike
Bottas JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 1,817 Reaction score 1,142 May 1, 2018 #22 mulisaaa said: Picha za ujenzi kawaombe waganda. Umeambiwa mafuta ni yetu ?? Click to expand... Tuta tuta jenga bomba la mafuta
mulisaaa said: Picha za ujenzi kawaombe waganda. Umeambiwa mafuta ni yetu ?? Click to expand... Tuta tuta jenga bomba la mafuta