Uganda demands apology from Kenya over Bobi Wine protests

Uganda demands apology from Kenya over Bobi Wine protests

...it was very disrespectful to the govt of Uganda...we also have our own problems but you don't see Ugandan mps carrying out protests on our behalf...so we have a few rogue mps in our midst that we need to get rid of or face the consequences
That’s funny, when it comes to human right issue there’s no boundary so [emoji1139] was right
Let us wait for ICC response

Sent from my iPhone using JamiiForums[/QUOTE]
naelewa ila mambo kama haya kuna njia mwafaka ya kufuata ili kusiwe na diplomatic issues...sio kuenda tu kwenye streets na kuanza kuitusi serikali ya nchi nyingine especially kama wewe ni mbunge..nakubali kuwa bila shaka serikali ya Uganda inafanya makosa kwa kuwakandamiza wananchi wao ila wabunge wetu hawakuwa na right ya kufanya walichofanya.....if it was the other way around, nakwambia wakenya wangekasirika sana....infact ingekuwa ni hao hao wabunge ambao wange demand apology..kule Afrika Kusini wananchi walifanya tu peaceful demonstrations kisha .mambo yakaisha hivo...
 
Yes hii ndilo jambo la msingi. Mp ni mtu mkubwa katika nchi. Ni vyema akawa makini na kuelewa boundaries zake. Sisi hapa TZ mbunge wa jimbo moja hawezi kuingilia masuala ya jimbo jingine. Yeye ni representative wa kushughulikia matatizo ya watu wake na kutetea maslah yao na si vinginevyo. Tukiendekeza mambo kama haya politics za EA zitakuwa chaos.
 
nakubaliana na haya...hata humu gavana akijaribu tu kuingilia siasa za county nyingine bila shaka kutakuwa na mvutano...hivyo iweje sisi tunaingilia mambo ya Uganda?...wabunge wangewawacha wananchi tu wafanye protests ila sio wao...hio ni kuleta picha mbaya especially since tunawahitaji waganda pia kwa mambo mengine...
 
nakubaliana na haya...hata humu gavana akijaribu tu kuingilia siasa za county nyingine bila shaka kutakuwa na mvutano...so iweje siisi tunaingilia mambo ya Uganda?...wabunge wangewawacha wananchi tu wafanye protests ila sio wao...hio ni kutuma picha mbaya especially since tunawahitaji waganda pia kwa mambo mengine...
Pamoja na matani tunayotaniana humu kwenye mitandao all EA we need each other. Mambo yanayovuruga unit yetu tunatakiwa kuyakemea. Community iliyo na future nzuri Africa is only EAC. Mps wanatakiwa wafundishwe. Ingekuwa EA Mps isingekuwa na shida. Au raia wangeandamana hapo ingekuwa sawa.
Nivyema tukawa makini sana na vyombo vya habari vya magharibi. We need unit in EAC.
 
Tunatakiwa kuwa makini, kwasababu baadhi ya Mps kwenye nchi zetu ni puppets. We need to abolish interference ya other state affairs.
 
Maganda however said the action demanded by the ministry would not negatively affect the two countries’ relationship but there was need for Kenyan MPs to understand diplomacy. “We want the MPs of Kenya to understand and appreciate that there is a diplomatic way how they should address matters that pertains to a partner state where you don’t have a bigger jurisdiction in their decision making,” Maganda said. - hapa nakubaliana kabisa na vile wayuganda wamesema. Hiyo njia hao mawakili wawili wa Kenya waliamua kufuatilia ni njia ya kikumbavu kabisa, kwani wanadhania huko ni Kenya? eeeh!! tazama vile nchi ya Marekani na Uingereza walivyosema, na kisha tazama vile hawa wakumbavu wetu wa Kenya walivyosema, bure kabisa!- is it okay to say "mavi ya kuku here?"

MY TAKE
The chicken have come home to roost! Apology or no SGR with Kenya![/QUOTE] - mimi bado nimepotea, ni wapi wanasema hakuna sgr deal? nimejaribu kusome tena na sioni. Ama wamesema "in between the lines?" yaani kama na expressions?
 
nakubaliana na haya...hata humu gavana akijaribu tu kuingilia siasa za county nyingine bila shaka kutakuwa na mvutano...hivyo iweje sisi tunaingilia mambo ya Uganda?...wabunge wangewawacha wananchi tu wafanye protests ila sio wao...hio ni kuleta picha mbaya especially since tunawahitaji waganda pia kwa mambo mengine...
Unasingizia wabunge wa Upinzani but for sure hii ni sampuli ya sahihi ya Tabia zenu za Viherehere,
Kuna wakati mlifika mbali mkang'oa reli inayoenda kwa m7,
wakenya mnaendeshwa na emotions sana,
Mlianzisha na kusign petitions, mkaanzisha campaigns tweeter zenya hashtags 'Stop Magufuli, nyingine sijui What will Magufuli do, yaani kwa mambo yasiyowahusu kabisa,
Trust me, Mjifunze kuwa Reasonable, Your Kenha Need that m7 Government for so many things.
 
Tunatakiwa kuwa makini, kwasababu baadhi ya Mps kwenye nchi zetu ni puppets. We need to abolish interference ya other state affairs.

I AGREE!!
100_Emoji.png
 
Okay. But you need to tell you MPs waelewe affairs za nchi zingine. Inaweza ikawaletea matatizo siku za usoni. Your government is responsible for this.
Government ndiyo inayofanya inforcement ya sheria. Mkiendelea kuendekeza upuuzi kama huu mtakuja kukutana na kitu kibaya.
Wafundisheni politicians wenu wajue mipaka yao.
Unajua the same MP ambaye alimdharau huyo M7 , is the same MP ambaye alimtuka rais Uhuru Kenyatta na kumuita "Mtoto wa Umbwa!" ..... yani alikua hakumtukana uhuru pekee bali alitukana mpaka babake kua Jomo Kenyatta ndo alikua Mbwa na Uhuru ndo mtoto wa mbwa..... Huyu ndo mmoja wepo wa MPs ambaye mnatarajia aombe msamaha...

Anyway, Uhuru aliulizwa maoni yake kuhusu siasa za Uganda kwa ile interview ya BBC hard talk... na alijibu vizuri ifwaavyo
 
I don't have issue with Uhuru. Uhuru ni mwanasiasa mzuri sana lakini kazungukwa na genge kubwa la vibaka.
Mps wa kenya wanatakiwa kukemewa kwa nguvu zote. Waache kiherehere kwa mambo yasiyowahusu.
 
Nashindwa sana zile comments nasoma humu ndani. Yaani karibia kila mtu anasupport dictatorship mpaka nashangaa. Basi hii ndio maana dictatorship bado iko Africa hadi 21st century, ni kwa sababu ya wananchi kufurahia na kusherehekea dictatorship. Halafu watu wanalia hapa eti Afrika kuna umaskini? Watu waache hypocrisy, huwezi support dictatorship na bado useme eti unataka maendeleo. Chagua moja, either unataka dictatorship ama unataka maendeleo. Mtu amekaa mahali 32 years halafu watu humu ndani wanamsupport. Ndio maana Afrika tuliitwa mkund* na Donald Trump.
 
Kitendo cha hao wabunge wa Kenya ni cha kiwendawazimu na very disrespectful kwa serikal ya u.g
 
Hatuwezi support dictatorship in East Africa. Hao MPs wasiombe msamaha. Time for dictators in Africa is over. Full stop.
We kichaa. Huwezi kuwapangia waganda namna ya kujiendesha nchi yao. Hizi ni akili za kikoloni.
 
Hii ndio vitu watu wanatetea humu Jf. Unyama kama huu? Bobi na Zaake, both who are critically ill can't even leave Uganda for medical attention abroad. They were arrested at the airport.
 
Hii ndio vitu watu wanatetea humu Jf. Unyama kama huu? Bobi na Zaake, both who are critically ill can't even leave Uganda for medical attention abroad. They were arrested at the airport.

Hebu toa ujinga wako hapa. Mbona hamkufanya chochote mbele ya ndugu yenu miguna miguna. Leo ndio umekuwa na uchungu na waganda.
 
Hatuwezi support dictatorship in East Africa. Hao MPs wasiombe msamaha. Time for dictators in Africa is over. Full stop.

Jamani acheni kuangalia jambo kwa upande mmoja. Hivi unafikiri bila Museveni KWELI Uganda ingekuwa KAMA ilivyo SASA. Tuache kushabikia propaganda za magharibi, Uganda ni NCHI ngumu SANA kuiongoza, haikuwa na umoja na mshikamano. Ni yoweri ndiye aliye waleta pamoja waganda baada ya kukandamizwa kwa muda mrefu na tawala zilizotangulia. Mnaweza kuona mseven ni tatizo nchini Uganda, lkn tatizo si yeye. Ile nchi imegawanyika SANA. Siku museven akiondoka NDIYO mtajua umuhimu wake. Kama ilivyo kwa Gadafi NDIYO itakuwa kwa museven.
 
Hebu toa ujinga wako hapa. Mbona hamkufanya chochote mbele ya ndugu yenu miguna miguna. Leo ndio umekuwa na uchungu na waganda.

Hahaha leo imekuwa tit for tat 😂😂😂
 
Back
Top Bottom