I doubt if it was the Tanzanians who initiated this deal. In my opinion, the whole thing looks like it's Kampala-driven.
Kama tutaendelea kuzinduliwa na wenzetu bila sisi kutumia opportunities, itakuwa ni kupigwa bao kila siku. Aibu kubwa kwa wanaohusika, wanajijua hata bila kuwataja.
Lakini pia, congestion ya mizigo bandarini imekuwa issue mbaya bila hata mizigo ya Uganda. Je wakianza kupitisha mizigo kwetu tutamudu? Ni kama mchezo wa panya, baadhi wakichimba, huku wengine wakifukia shimo husika.
Kama siyo viongozi bomu ni nini? Hivi rais anashindwa nini kufanya reforms za bandari zetu na TRA wanavyofanya kazi tukaingiza mizigo bila matatizo, ukiangalia ni kama serikali haitaki maendeleo ya haraka.
Well said mkuu.
Mwenywe natazama hii development kama changamoto kwa TPA,TRA na
serikali kwa ujumla.Kuna umuhimu wa kuimarisha hii infrastructure
inayokatiza through the midline of the country ili kurahisha usafiri wa
mizigo both internally na across the borders.Hapa naongea kuhusu reli
na magari ya moshi ambayo ni muhimu katika kusafirisha bulky goods
over distances.
Pia inabidi kuboresha barabara na somebody needs get rid of that
anti-night time traffic law. Imepitwa na wakati and it needs to be
reassesed for the faster movement of goods and services.
Uwajibikaji wa wafanyikazi wa serikali also comes under the microscope
especially hapo bandarini.Bw. Kinunda anasema the capacity of the
DSM Port is bigger than the goods that pass through there...mbona
basi kuna congestion hapo porti? Hongo na milungula is the order of
the day na mafisadi wanapeta huku wakiiba hela na jasho la raia wa
kawaida wa nchi.
Until such factors are put into play hii safari itakua ndefu mno