Hili comment limekaa aje? Wewe hujui umuhimu wa trade.Sisi tunataka kila nchi ibaki na soko lake, ili kumaliza huku kulaumiana kila mara. Kenya msiuze bidhaa Uganda wala Tanzania, na Tanzania nao wasiuze bidhaa Kenya. Kila nchi ibaki na bidhaa zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijua ndio utaelewa nini kinaendelea. Lakini wewe ni bwege tu huwezi elewa.Fool, i dont need to know that esp. when u r in common market! ownership is irrelevant!
Is he above Kenyan laws? so retaliation of Uganda to Kenyan goods will be ohk with u fool! aren't the same people celebrating reopening of Kisumu port? I really want to see retaliate n confiscate Kenyan goods too!Ukijua ndio utaelewa nini kinaendelea. Lakini wewe ni bwege tu huwezi elewa.
Basically Uhuru is above the law. He can do whatever he wants. Although i am against his dictatorial tendencies. Ana udikteta kidogo. Magu pia ana udikteta kwa hivyo hakuna tofauti.Is he above Kenyan laws? so retaliation of Uganda to Kenyan goods will be ohk with u fool! aren't the same people celebrating reopening of Kisumu port?
Kidogo hapa naona umeelewa tofauti na habari husika. Sijui mimi ndio sijakuelewa vizuri?Na Waziri wa mambo ya nje wa Uganda amethibitisha hilo ni bora kuwaban wasipeleke hayo maziwa yao ya LATO huko Uganda kwakuwa hata wachuuzi wa kiganda wananyanyaswa na mamlaka za Kenya.
Udikteta au conflict of interest? Unazuiaje maziwa ambayo ni more affordable to Kenyans kisa una biashara ya kuuza maziwa! Usifananishe Magufuli na ujinga wa Uhuru! Magufuli hana biashara ambayo inaleta conflict of interest mara nyingi anafuata sheria!Basically Uhuru is above the law. He can do whatever he wants. Although i am against his dictatorial tendencies. Ana udikteta kidogo. Magu pia ana udikteta kwa hivyo hakuna tofauti.
Kuna comment zingine bana ni za kilofa na za kirobot kupindukia hadi huwa nashindwa kabisa kuzijibu.Hili comment limekaa aje? Wewe hujui umuhimu wa trade.
Eti mara nyingi Magufuli huwa anafata sheria. [emoji23][emoji23][emoji23] Jeez, you sound like a typical five year old.Udikteta au conflict of interest? Unazuiaje maziwa ambayo ni more affordable to Kenyans kisa una biashara ya kuuza maziwa! Usifananishe Magufuli na ujinga wa Uhuru! Magufuli hana biashara ambayo inaleta conflict of interest mara nyingi anafuata sheria!
mention any of the ban on Kenyans goods or livestock that was unfair n against the Law! chicken, sugar, masai livestock in Loliondo protected area?Eti mara nyingi Magufuli huwa anafata sheria. [emoji23][emoji23][emoji23] Jeez, you sound like a typical five year old.
Sasa kwanini mnagombana na majirani wenu wote?, trade means two ways, sell and buy, you guys want only to sell to your neighbors, but when it comes to buy from them, you bring all foolish excuses. If you don't like to buy goods from other counties, stop exporting to them. Magufuli knows better how to deal with Kenyans, try this with imports from Tanzania, what will happen to you is known to every Kenyan.Hili comment limekaa aje? Wewe hujui umuhimu wa trade.
Uwezo mdogo wa akili wa wakenya ndio sababu kubwa ya kushindwa kuelewa "comments" za watu wenye akili kubwa, tatizo ni unyafuzi wa Ubongo wenu uliosababishwa na Ukosefu wa lishe bora hasa ktk kipindi cha utoto, jambo gani hukuelewa " context" ya hiyo comment nikueleweshe?Kuna comment zingine bana ni za kilofa na za kirobot kupindukia hadi huwa nashindwa kabisa kuzijibu.
Museveni kazidi woga imagine mara kuku mara mayai sasa maziwa! Fake middle income wetu wana ufala sana! JPM alimminya mapumbu mpaka akaenda kuomba poo Chato! Nadhani wanakumbuka vizuri zile nyokonyoko zao za ku-ban tourvans za Tanzania JKIA!Sasa kwanini mnagombana na majirani wenu wote?, trade means two ways, sell and buy, you guys want only to sell to your neighbors, but when it comes to buy from them, you bring all foolish excuses. If you don't like to buy goods from other counties, stop exporting to them. Magufuli knows better how to deal with Kenyans, try this with imports from Tanzania, what will happen to you is known to every Kenyan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni kwa kuimport powdered milk kwa wingi. Ila kitu ambacho sidhani mnakijua hadi wa leo ni kwamba mlipokuwa mnafanya uchawi wenu dhidi ya Brookside na U.Kenyatta. Hiyo Oktoba 2018 mlipo ongeza import fee, miezi 18 kabla, Machi 2017 Brookside DAIRIES ya Kenyatta iliuza mali na shares zake zote Tz kwa Brookside HOLDINGS ya Danone, kampuni kutoka Ufaransa. Yaani mlichezewa chess move moja kali mkabaki na roho zenu nyeusi mkipambana na kivuli eti kwasababu vivuli vyote vinafanana. [emoji1]Danone buys Kenyattas out of Brookside Tanzania
Ruiru-based Brookside gained a footing in Tanzania after it acquired the Arusha plant of the defunct State-owned Tanzania Dairies.www.businessdailyafrica.com
Hapa inachotakiwa Museveni a-ban trucks from Kenya from entering Uganda halafu tuone Kunyaland watafanya nn na mkopo wa Mchina upo matakoni mwao! Museveni move Ugandan cargo from Mombasa to Tanga and Dar ports! Our railway can move ur cargo to Mwanza then ur trucks and wagon ferries can move them to Kampala!What do you mean, Kenya doesn’t import powdered Milk?
Hawa jamaa hawana uwezo wa kupambana katika biashara kwa sasa kutokana na gharama za uzalishaji nchini mwao kuwa juu sana, kitendo cha pesa yao kuwa na thamani kunazifanya bidhaa zao kuwa ghali sana, na kitendo cha " Kenyans diaspora" kutuma pesa nyingi kutoka nje ndio kunazidi kusambaratisha urari wa biashara hivyo kufanya uchumi wa Kenya kuonekana mkubwa wakati uzalishaji hauendani na hali halisi, wanachofanya ni kutafuta mchawi wa matatizo ya uchumi wao toka kwa majirani, walianza na Tanzania, sasa ni Uganda.Hapa inachotakiwa Museveni a-ban truck from Kenya from entering Uganda halafu tuone Kunyaland watafanya nn na mkopo wa Mchina upo matakoni mwao! Museveni move Ugandan cargo from Mombasa to Tanga and Dar ports! Our railway can move ur cargo to Mwanza then ur trucks and wagon ferries can move them to Kampala!
exactly sasa kama export zao ni maziwa, juice, chai, aluminiun na cement? nani ha-produce hivyo vitu in the region? walianza na kelele za contraband baadae Kenya Burea of Standard ikapitisha hizo bidhaa! Hata sisi walizuia gesi yetu wakashindwa! Sasa wamebaki utemi! Wasimjaribu JPM kabsaa! Magazeti yao yalikuwa yanachekelea saga la Barrick gold na serikali ya JPM sasa limeisha na kumbukeni gold export ilikuwa second source of foreign exchange behind Tourism! Huu ni ushindi wa JPM maana focus sasa ime-shift kwa Debeers na almasi zetu!Hawa jamaa hawana uwezo wa kupambana katika biashara kwa sasa kutokana na gharama za uzalishaji nchini mwao kuwa juu sana, kitendo cha pesa yao kuwa na thamani kunazifanya bidhaa zao kuwa ghali sana, na kitendo cha " Kenyans diaspora" kutuma pesa nyingi kutoka nje ndio kunazidi kusambaratisha urari wa biashara hivyo kufanya uchumi wa Kenya kuonekana mkubwa wakati uzalishaji hauendani na hali halisi, wanachofanya ni kutafuta mchawi wa matatizo ya uchumi wao toka kwa majirani, walianza na Tanzania, sasa ni Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
We export powdered milk, namely to the middle east.What do you mean, Kenya doesn’t import powdered Milk?
and u import milk from Uganda! 😀 😀 😀 😀 😀 ☝We export powdered milk, namely to the middle east.
Walipogundua hawawezi kupambana na Magufuli, Uhuru Kenyatta akaamua kujisogeza(If you can't fight them, join them strategy). Sasa hivi wanaanza kupambana na Uganda.exactly sasa kama export zao ni maziwa, juice, chai, aluminiun na cement? nani ha-produce hivyo vitu in the region? walianza na kelele za contraband baadae Kenya Burea of Standard ikapitisha hizo bidhaa! Hata sisi walizuia gesi yetu wakashindwa! Sasa wamebaki utemi! Wasimjaribu JPM kabsaa! Magazeti yao yalikuwa yanachekelea saga la Barrick gold na serikali ya JPM sasa limeisha na kumbukeni gold export ilikuwa second source of foreign exchange behind Tourism! Huu ni ushindi wa JPM maana focus sasa ime-shift kwa Debeers na almasi zetu!
I wish that to happen ili wjifunze ushenzi wanaofanya! Bomba la mafuta wamekosa na SGR ndo hivyo sasa a ban to cargo at Mombasa itawafunza vizuri!Walipogundua hawawezi kupambana na Magufuli, Uhuru Kenyatta akaamua kujisogeza(If you can't fight them, join them strategy). Sasa hivi wanaanza kupambana na Uganda.
Dunia nzima itawashangaa wakiendeleza vita vya biashara na Uganda, kwasababu ndiye mnunuzi mkubwa wa bidhaa zao, na mtumiaji mkubwa wa bandari ya Mombasa, Uganda akiamua kuachana na Kenya ktk biashara, Kenya itasambaratika ndani ya mwezi mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app