Wanafik katika ubora wao. Mbona maziwa ya Kenya mliyapiga marufuku huko Tz? Naona mnarukia na kiherehere na chuki zenu kwenye masuala ambayo hayawahusu. Huu mvutano wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda sio jambo la kufurahisha hata kidogo. Ila haina budi kwasababu wakulima wa Kenya nao wameliamsha, na wana haki ya kusikizwa, ukizingatia ripoti ya kamati ya kilimo ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Hebu tuangalie facts kama zilivyo. Kenya kwa sasa inazalisha lita 5.6 billion za maziwa, kwa mwaka. Wakenya wanatumia lita 5.17 billion. Surplus inabaki lita 430 million! Ongeza juu yake lita 122 million ambazo zinaingia Kenya kutoka nchi zingine, ndani na nje ya ukanda huu. Waganda wanazalisha lita 67 million tu, maziwa ambayo hayawezi yakatosheleza hata soko la ndani Uganda. Ila mwaka wa 2019 lita 154 million za maziwa ziliingizwa Kenya kutoka UG. Hesabu hazibalance hata kidogo.
Parliamentary committee says Kenya produces enough milk for consumption and exportation.
www.nation.co.ke