pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kenya inazalisha maziwa ya kutosha lita 5.6billion kila mwaka alafu tunatumia lita 5.17billion. Haya maziwa ya Uganda yanakubaliwa kuingia Kenya kwasababu ya protocol ya EAC common market sio kwasababu hamna maziwa. Kuna surplus ya lita 481million(5.6b-5.17b) kutoka kwa wakuliwa wa Kenya. Tz hamzalishi nusu ya maziwa ambayo yanazalishwa nchini Kenya. Alafu hata maziwa yenyewe hamnywi.and u import milk from Uganda! ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ โ
sasa kama hatunywi tatizo nn? mbona huongelei matunda tunayo-export kwenu kila siku? Kama hatunywi maziwa tunakula matunda!Kenya inazalisha maziwa ya kutosha lita 5.6billion kila mwaka alafu tunatumia lita 5.17billion. Haya maziwa ya Uganda yanakubaliwa kuingia Kenya kwasababu ya protocol ya EAC common market sio kwasababu hamna maziwa. Kuna surplus ya lita 481million(5.6b-5.17b) kutoka kwa wakuliwa wa Kenya. Tz hamzalishi nusu ya maziwa ambayo yanazalishwa nchini Kenya. Alafu hata maziwa yenyewe hamnywi.
Hili tatizo la uwezo wenu mdogo wa akili mtalitatua vipi?, kibachosemwa hapa ni huu ujinga wenu wa kuanzisha matatizo na majirani zenu pale mbapohisi kuzidiwa kwa biashara, vipi mbaanzisha chokochoko na Uganda ambaye ndiye mteja mkubwa wa bidhaa zenu na bandari yenu?.Naona kuna watu wanamtumia M7 ujumbe hapa Jf. Wanakwaya wanangoja mkono udondoke. [emoji1] Mwaka wa 2019 Kenya iliwafunika wote kwenye exports zetu ukanda huu, yaani kutia moto vifaranga na kupiga ng'ombe mnada haikusaidia lolote! Wote Tz, Ug, Rw, Burundi wana deficit kubwa kwenye biashara na Kenya. Tunawauzia madawa, sabuni na wao wanatuuzia mahindi, maharage na kamba za makonge. ๐ Na bado, viwanda nchini Kenya vinaendelea kuongezeka kila uchao.
Mada ni kuhusu maziwa, tatizo ni kwamba mnajifanya kwamba mna authority ya kujadili na wakenya kuhusu maziwa. Wakati hamzalishi kama Kenya, hamnywi wala Lato Milk sio maziwa kutoka Tz. Kuhusu matunda tupe takwimu, maanake hata wakenya tunakula matunda pia na tunakuza! Kenya inaongoza hapa Afrika kwenye uzalishaji wa maparachichi na exports pia. Labda kama ulimaanisha lile tunda lingine.sasa kama hatunywi tatizo nn? mbona huongelei matunda tunayo-export kwenu kila siku? Kama hatunywi maziwa tunakula matunda!
Sasa mbona bei yenu ipo juu ukilinganisha na maziwa toka Uganda?, muhimu sio kuzalisha, la muhimu ni vile mnavyozalisha viweze kuwa na bei ndogo ukilinganisha na za nchi jirani.Kenya inazalisha maziwa ya kutosha lita 5.6billion kila mwaka alafu tunatumia lita 5.17billion. Haya maziwa ya Uganda yanakubaliwa kuingia Kenya kwasababu ya protocol ya EAC common market sio kwasababu hamna maziwa. Kuna surplus ya lita 481million(5.6b-5.17b) kutoka kwa wakuliwa wa Kenya. Tz hamzalishi nusu ya maziwa ambayo yanazalishwa nchini Kenya. Alafu hata maziwa yenyewe hamnywi.
Kuna wakati boda ya Kenya na Tz ilifungwa kwa miaka 7! Kwa hiyo miaka saba hamna 'crisis' yeyote ambayo ilitokea Kenya. Isipokuwa tuliwachapa gap la kiuchumi ambalo hadi sasa hivi hamjarecover, FACT.Hili tatizo la uwezo wenu mdogo wa akili mtalitatua vipi?, kibachosemwa hapa ni huu ujinga wenu wa kuanzisha matatizo na majirani zenu pale mbapohisi kuzidiwa kwa biashara, vipi mbaanzisha chokochoko na Uganda ambaye ndiye mteja mkubwa wa bidhaa zenu na bandari yenu?.
Jambo moja unapaswa kujua kwamba, bila Tanzania uchumi wenu utayumba sana, bidhaa muhimu za kuendesha uchumi wenu/ Mali ghafi yote inatoka Tanzania, tukiamua kuwafungia mipaka au vikwazo vya biashara, mtatupigia magoti
1)Karatasi
2)Coal
3)Pamba
4)Clinca kwa ajili ya viwanda vya cement
5)Transfoma za UMEME
6)Chakula
7)Gesi ya kupikia
8) Gesi ya Carbon dioxide The list is endless....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya inazalisha maziwa ya kutosha lita 5.6billion kila mwaka alafu tunatumia lita 5.17billion. Haya maziwa ya Uganda yanakubaliwa kuingia Kenya kwasababu ya protocol ya EAC common market sio kwasababu hamna maziwa. Kuna surplus ya lita 481million(5.6b-5.17b) kutoka kwa wakuliwa wa Kenya. Tz hamzalishi nusu ya maziwa ambayo yanazalishwa nchini Kenya. Alafu hata maziwa yenyewe hamnywi.
Acha mihemko ya kiboya kwenye masuala ambayo yahakuhusu. Tulia, soma taarifa ya kamati ya bunge la Kenya ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Ukiweza tafuta ripoti yenyewewe.Sasa mbona bei yenu ipo juu ukilinganisha na maziwa toka Uganda?, muhimu sio kuzalisha, la muhimu ni vile mnavyozalisha viweze kuwa na bei ndogo ukilinganisha na za nchi jirani.
Uganda inazalisha maziwa na sukari kwa bei ndogo ndio sababu mnakataa visiingie Kenya, hamna uwezo wa kupambana katika hizo bidhaa.
Ninyi mpo na roho mbaya sana, Uganda wananunua bidhaa nyingi sana toka Kenya, kamwe hawalalamiki, lakini kwa zile bidhaa ambazo wanazalisha kwa gharama nafuu ukilinganisha na Kenya, nazo hamtaki kununua mnaanza kuweka vikwazo. Only Magufuli can deal better with You.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mtoto mdogo huna unalojua tulipofungiana mipaka. Miaka ile ndio kipindi cha "cold war", Kenya ilikua mikononi mwa nchi za Magharibi, viwanda vya Kenya 90% vilikuwa vinamilikiwa na waingereza hivyo walipata Mali ghafi toka nchi za mbali.Kuna wakati boda ya Kenya na Tz ilifungwa kwa miaka 7! Kwa hiyo miaka saba hamna 'crisis' yeyote ambayo ilitokea Kenya. Isipokuwa tuliwachapa gap la kiuchumi ambalo hadi sasa hivi hamjarecover, FACT.
Huu ujinga wenu ndio unaowafanya hamuelewani karibu na nchi zote zinazowazunguka, sema ukweli, ni nchi gani inayowazunguka ambayo hamkwaruzani nayo?, acheni ujinga wenu na roho mbaya yenu.Acha mihemko ya kiboya kwenye masuala ambayo yahakuhusu. Tulia, soma taarifa ya kamati ya bunge la Kenya ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Ukiweza tafuta ripoti yenyewewe.MPs want milk imports stopped
Parliamentary committee says Kenya produces enough milk for consumption and exportation.www.nation.co.ke
Leta evidence ya madai yako, sio unachapia tu hadithi za kipumba ambazo mlikuwa mnapigiwa mkiota moto kwenye vijiji vyenu vya ujamaa.Wewe ni mtoto mdogo huna unalojua tulipofungiana mipaka. Miaka ile ndio kipindi cha "cold war", Kenya ilikua mikononi mwa nchi za Magharibi, viwanda vya Kenya 90% vilikuwa vinamilikiwa na waingereza hivyo walipata Mali ghafi toka nchi za mbali.
Baada ya kumalizika kwa " Cold war" Kenya ilipoteza hiyo fursa ya "special treatment" toka "Western countries" ndipo Kenya ilipoanza kuzigeukia nchi za kijamaa ikiwemo China na Tanzania katika biashara, sasa hivi Kenya inaweza kuishi bila nchi za wazungu, lakini Kenya haiwezi kuishi bila China na Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya inakuuma sana ila ukweli ni kwamba sio Kenya ndio imewakwaza kwenye azma yenu ya Tz ya viwanda. Endeleeni kuingiza mafeelings kwenye biashara na kuhesabu vyerehani na salon zenu. Kenya ni Kenya na Tz ni Tz. Sisi na ubishi wetu wote bado tutaendelea kuwasomesha namba. ๐Huu ujinga wenu ndio unaowafanya hamuelewani karibu na nchi zote zinazowazunguka, sema ukweli, ni nchi gani inayowazunguka ambayo hamkwaruzani nayo?, acheni ujinga wenu na roho mbaya yenu.
The only way to stay peaceful and comfortable is to make sure you are at peace with your neighbours, stop your stupidity now and start new life.
Kila nchi lazima mnaanzisha mzozo, kama sio wa biashara, basi ni mzozo wa mipaka, mkishauriwa mnajifanya wajuaji, wajinga wakubwa ninyi. Tanzania tumepakana na nchi nane. SADC kuna nchi zaidi ya 16, ulishasikia mizozo ya kibiashara baina ya Msumbiji, Zambia, Malawi, Angola, Botswana.
China inaongoza kuwa mkopeshaji mkubwa kwa Kenya, Tanzania inaongoza kwa kuwauzia chakula Kenya na "raw materials", Wapi nchi za Kibepari?Leta evidence ya madai yako, sio unachapia tu hadithi za kipumba ambazo mlikuwa mnapigiwa mkiota moto kwenye vijiji vyenu vya ujamaa.
Kusomesha namba katika kukwaruzana na majirani wote?, Alshabaab hawafanyi makosa wakiwashikisha adabu.Kenya inakuuma sana ila ukweli ni kwamba sio Kenya ndio imewakwaza kwenye azma yenu ya Tz ya viwanda. Endeleeni kuingiza mafeelings kwenye biashara na kuhesabu vyerehani na salon zenu. Kenya ni Kenya na Tz ni Tz. Sisi na ubishi wetu wote bado tutaendelea kuwasomesha namba. ๐
...na Kenya inawauzia bidhaa processed kutoka kwa viwanda, k.m. madawa na sabuni, ndio mbaki fresh. Sasa hii comment yako ndio takwimu na info za kueleweka kuhusu historia ya mlipofunga border na Kenya ikaendelea kunawiri kiuchumi? Nigga move on to the next sh#t!China inaongoza kuwa mkopeshaji mkubwa kwa Kenya, Tanzania inaongoza kwa kuwauzia chakula Kenya na "raw materials", Wapi nchi za Kibepari? Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tukae juu ya kichwa cha Uganda. Si wewe ndiye uliyesema kuwa Uganda wanaweza kupambana na Kenya? Sasa mbona unalialia tunapozaba Uganda makofi?Sasa mbona bei yenu ipo juu ukilinganisha na maziwa toka Uganda?, muhimu sio kuzalisha, la muhimu ni vile mnavyozalisha viweze kuwa na bei ndogo ukilinganisha na za nchi jirani.
Uganda inazalisha maziwa na sukari kwa bei ndogo ndio sababu mnakataa visiingie Kenya, hamna uwezo wa kupambana katika hizo bidhaa.
Ninyi mpo na roho mbaya sana, Uganda wananunua bidhaa nyingi sana toka Kenya, kamwe hawalalamiki, lakini kwa zile bidhaa ambazo wanazalisha kwa gharama nafuu ukilinganisha na Kenya, nazo hamtaki kununua mnaanza kuweka vikwazo. Only Magufuli can deal better with You.
Sent using Jamii Forums mobile app
We export powdered milk, namely to the middle east.
Sasa umeanza kusupport Shabab? ๐ฏ๐ฎ๐กKusomesha namba katika kukwaruzana na majirani wote?, Alshabaab hawafanyi Tu makosa wakiwashikisha adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app