joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mnakaa kichwani kwa Uganda kwa kuzuia bidhaa zao " illegally? ", try that to Tanzania muone kitakachowakuta, Jaguar aliporopoka ujinga, Kenya nzima ilitikisika na kulazimisha Uhuru kwenda Chato bila kupendaW
Wacha tukae juu ya kichwa cha Uganda. Si wewe ndiye uliyesema kuwa Uganda wanaweza kupambana na Kenya? Sasa mbona unalialia tunapozaba Uganda makofi?
Turkiye and Nigeria are the biggest consumers of powdered milk from Kenya, KCC and Brookside. Kuingiza powdered milk nchini Kenya ni challenge kibiashara kwasababu Kenya ilianza kutoza import duty ya 67% miaka mitano iliyopita.Which Brand?
Which Middle East?
The Last time I checked Kenya imports powdered milk than any other East African country
Bila shaka lazima wawe makini na uhusiano wao na Kenya. Rwanda imefunga mpaka wake na kila siku wanalialia kila sehemu kwamba imeathiri sana biashara yao, sasa sijui kenya ikiamua kuwahujumu sijui itakuaje!!! Babu Mateke FM in charge of regional cooperation wa Uganda nadhani haijui kazi yake vizuri.Uganda wachunge sana maana 80% ya import yao inapitia Kenya.
Wacha ujinga hii manenoTurkiye and Nigeria are the biggest consumers of powdered milk from Kenya, KCC and Brookside. Kuingiza powdered milk nchini Kenya ni challenge kibiashara kwasababu Kenya ilianza kutoza import duty ya 67% miaka mitano iliyopita.
Kenya ndiyo itakayopoteza zaidi sio Uganda, kumbuka kwamba Uganda ni somo kubwa kwa bidhaa za Kenya, na Uganda ndiye mtumiaji mkubwa wa bandari ya Mombasa.Bila shaka lazima wawe makini na uhusiano wao na Kenya. Rwanda imefunga mpaka wake na kila siku wanalialia kila sehemu kwamba imeathiri sana biashara yao, sasa sijui kenya ikiamua kuwahujumu sijui itakuaje!!! Babu Mateke FM in charge of regional cooperation wa Uganda nadhani haijui kazi yake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka lazima wawe makini na uhusiano wao na Kenya. Rwanda imefunga mpaka wake na kila siku wanalialia kila sehemu kwamba imeathiri sana biashara yao, sasa sijui kenya ikiamua kuwahujumu sijui itakuaje!!! Babu Mateke FM in charge of regional cooperation wa Uganda nadhani haijui kazi yake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa lugha wanayoielewa ni jino kwa jino, ukijifanya mpole wanakuona zoba.I wish that to happen ili wjifunze ushenzi wanaofanya! Bomba la mafuta wamekosa na SGR ndo hivyo sasa a ban to cargo at Mombasa itawafunza vizuri!
But you should also know that there are some products produced in Uganda but still the government allows importation of the same goods from Kenya.Wanafik katika ubora wao. Mbona maziwa ya Kenya mliyapiga marufuku huko Tz? Naona mnarukia na kiherehere na chuki zenu kwenye masuala ambayo hayawahusu. Huu mvutano wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda sio jambo la kufurahisha hata kidogo. Ila haina budi kwasababu wakulima wa Kenya nao wameliamsha, na wana haki ya kusikizwa, ukizingatia ripoti ya kamati ya kilimo ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Hebu tuangalie facts kama zilivyo. Kenya kwa sasa inazalisha lita 5.6 billion za maziwa, kwa mwaka. Wakenya wanatumia lita 5.17 billion. Surplus inabaki lita 430 million! Ongeza juu yake lita 122 million ambazo zinaingia Kenya kutoka nchi zingine, ndani na nje ya ukanda huu. Waganda wanazalisha lita 67 million tu, maziwa ambayo hayawezi yakatosheleza hata soko la ndani Uganda. Ila mwaka wa 2019 lita 154 million za maziwa ziliingizwa Kenya kutoka UG. Hesabu hazibalance hata kidogo.MPs want milk imports stopped
Parliamentary committee says Kenya produces enough milk for consumption and exportation.www.nation.co.ke